Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Dakitari bingwa wa mifupa.Professor Philemon Sarungi
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dakitari bingwa wa mifupa.Professor Philemon Sarungi
Uko sahihi.utakuwa mtoto mdogo we jamaa .
Professor Sarungi ndiye pofessor wa kwanza bingwa wa mifupa Tanzania nzima...
Rais Ali H. Mwinyi alikuwa akitembelea LandRover 110 ya wazi akipungia wananchi mikono.Nakumbuka Dr wa Mwl Nyerere na viongozi wengine alikuwa anapuyanga mitaani mwenyewe tu...mara nyingi nilikuwa namwona mitaa ya posta Dar posta akiwa peke yake kabisa!
Kila jambo lina maana yake.
Dah!... Tule nini sasa ?Janabi huyu anayetuambia tusile maharage, tusile matunda, tusinywe maji, tusile nyama, tusile ugali, tusile ubwabwa, tusile hiki, tusile kile!!!
He is a nutty professor
Umeona eenhh?!!!.Mimi mwenyewe nashangaa.inamankusweke
Acha ujinga wako!!kwani yeye ndiye daktari pekee aliyewahi kuwatibu marais?kuna madaktari wangapi walikuwa wanawatibu marais na bado hawajawahi kuwa na ulinzi mkubwa?!!ndio maana mdau amekutana nalo na kuja kuuliza, ili kujua kuna kitu gani cha utofauti zaidi, wewe hata hujui kitu unakuja tu, eti daktari anatibu marais ndio awe na ulinzi huo?!!
NI DAKTARI BINGWA MUHIMU MNO NDANI YA TAALUMA HIYO NI MTU AGHALI SANA HATA KUMTENGENEZA MWINGINE.Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao.
Kuonana na Profesa Janabi ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya Moyo Muhimbili - Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa nakuhakikishia utamsikia Janabi radioni.
Iweje leo na kwa siku za hivi karibuni mtu asiye kiongozi kulindwa namna ile?!?
>And no more!
Hiyo ndiyo Tanzania ndugu Pendael24 .Hivi inakuwaje labda mpaka mtu aliye professional kutumika kisiasa? Tena siasa chafu?
Endeleeni kumsikiliza nutty professorEndeleeni kufakamia sembe mvibebe vitambi vyenu wenyewe kwenye toroli, wanaume kwa wanawake.
The spirit of "CHATTLE" will finish them all. It is just a matter of time.Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao...
Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao.
Kuonana na Profesa Janabi ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya Moyo Muhimbili - Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa nakuhakikishia utamsikia Janabi radioni.
Iweje leo na kwa siku za hivi karibuni mtu asiye kiongozi kulindwa namna ile?!?
Wewe ni mjuvi ila ni mpuuz Rais atake asitake atalidwa ni mara ngapi JPM alikuwa anatamka Kuna muda anaboike na ulinzi wake ila ndo hvyo hawezi fanya chochoteAlikuwa akidanganya watanzania eti tumgemee Mungu wakati yeye analindwa na mibunduki utasema nchi iko vitani.
Kamhudumia JPM kwa muda mrefu kuhusu matatizo ya moyo Hadi umeme wa moyo ulipoleta hitilafu na kusababisha kifo Cha rais aliyekuwepo madarakani.Kuhudumia marais ndio sifa ya kulindwa sana au kuna lingine?
Mbona anavaa miwani ya macho Sasa au ndo yaleyale mganga hajigangi?dr hussein mwinyi ni daktari bingwa wa macho. kaacha kaenda kuwa waziri pia rais