mbn dereva hajaandikwa kwenye barua?👿Mhandisi Nyamohanga Gissima Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva wake ambaye jina lake ni Muhajir Mohamed Haule, wamefariki Dunia kwenye Ajali liyyotokea saa nane Usiku wakiwa njiani kuelekea Msoma. Walikuwa wanakaribia Serengeti
View attachment 3302678View attachment 3302679
Picha hapa juu ni Muhajir Mohamed Haule, Dereva wa TANESCO wakati wa Uhai wake
Wapumzike kwa amani
"Tunayaangaza maisha yako"
TANESCO MAKAO MAKUU, S.L.P. 453, DODOMA, TANZANIA, SIMU 180
TAARIFA KWA UMMA
TANZIA
Jumapili, 13 Aprili 2025.
Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga, kilichotokea leo tarehe 13 Aprili 2025 kufuatia ajali ya gari iliyotokea katika Wilaya ya Bunda, Mkoani Mara.
Bodi ya Wakurugenzi inatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa, wafanyakazi wa TANESCO, na Watanzania wote kwa msiba huu mkubwa.
Taarifa zaidi kuhusu taratibu za mazishi na shughuli nyingine za maombolezo zitatolewa kadri mipango inavyoendelea kuratibiwa.
Imetolewa Na:
KURUGENZI YA MAWASILIANO NA HUDUMA KWA
WATEJA TANESCO MAKAO MAKUU DODOMA
====
MY TAKE
Tanzania tumemkosea nini Mungu? Kwanini tukipata Mchapakazi hadumu kwenye Uongozi anafariki Dunia? Inabidi tuliombee Taifa. Nampongeza Nyamohanga kwa kulitendea haki taifa. Alijuwa mchapakazi na mwenye IQ kubwa pia ameachia Vitu vingi na kafanya vitu vingi TANESCO sio Kama yule Maharage na Kampani yake. Nahisi kuna mkono wa mtu.
Mauzauza na wenge la usingizi inaweza kuwa ndo sababu👿Aisee baiskeli usiku wa manane?
Na hisi alikuwa anakagua kazi njia nzima hiyo,ndio maana akachagua gariMkurugenzi wa Tanesco anasafiri umbali wote kutoka dar mpaka Msoma kwa gari kwani ndege hazikuwepo?
Shida wale wa facebook wamekimbilia huku kwahyo mtu anacomment tu bila kuifikiria ile comment yake utafikiri hana ubongoYou are very stupid
Hukua na sababu yoyote ya kuandika inflammatory comment Kama hiyo
Hujui kwanini alisafiri usiku tena aiku ya ijumaa…. What if ndio muda pekee alioweza kupata kufanya mambo ya kifamilia?
Zamu yako itafikaMda wote anaiona alhamdulillah.
Najua itafika na nitakufa. Tatizo liko kwa hawo wanaojifanya ni viongozi kwa kutoa uhai wa mtu pale wanapotofautiana itikadi.Zamu yako itafika
Mkuu kwa kifupi Bongo hapa kuna sisi madereva wa hovyo mno.Kupitia hizo picha inaonekana ni collision kwa nyuma..Lori limepaki barabarani pengine bila kuwasha indicators au kuweka alama kuashiria limesimama..utii wa sheria za barabarani kwa watanzania ni mdogo sana..hali ya kutokujali ni ya kiwango cha juu sana!
RIP Dereva na Eng. Gissing.
Najua itafika na nitakufa. Tatizo liko kwa hawo wanaojifanya ni viongozi kwa kutoa uhai wa mtu pale wanapotofautiana itikadi.Zamu yako itafika
Sio kwa hilo Mkuu ,mwendo mwendo na maamuzi ya hovyo.Gari za kijapani huwa ni nyepesi sana, bodi inanyambuka kama karatasi, nyepesi huwa zinapea na kukosa balance ukiwa high speed.
Defensive driving ni muhimu sana kwenye haya magari na barabara zetu pia.
Sahii kabisa,unakuta dreva keshachoka Ila kumgomea boss inakua ngumuIle barabara wala sio finyu. Labda dereva kuchoka maana Tanzania ukiwa chini ya amri ya MTU cha moto unakiona
Labda alikuwa anatoka shamba kupalilia vitu vyake mkuu🤣wanasema dereva alimkwepa mwendesha baiskeli!nikawaza saa 7 za usiku, mwendesha baiskeli katoka wapi usiku wote huu?
Nani atambebea begi!Hata mimi nashangaa ,wanaenda trip ndefu ili mradi wapate per diem wote ,dereva na mkurugenzi... Mfano sisi Dar es salaam unakuta tunaenda trip ya kizazi mpaka Mbeya au Mwanza na gari badala hata ya kuchukua ndege ,kote Mbeya na Mwanza kuna viwanja vizuri na route za ndege za kilq siku.
Makes some sense. Kuna ka ukweli fulani hivi.Yani halipwe Mshahara million 30 bado posho za vikao kila siku alafu asafiri kwa gari toka dar mpaka msoma sasa hzo ndege atazipanda nani?