TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Barua ya Kurugenzi ya Mawasiliano kutoka TANESCO imetaja kifo kimoja tu cha aliyekuwa DG wao na driver hatajwi. Hii ni bahati mbaya? Au watatoa notice nyingine ya driver peke yake? Au driver ni “mtu mdogo asiye na impact” na huwa hatajwi kwenye taratibu zao??

Atleast ile Taarifa kwa Umma kutok Ikulu imetambua kifo cha driver na imemtaja
Mtu mdogo wakati ndiye kazalisha zali?
 
Pole sana kwa familia yake

Pole sana watoto wake

Apumzike kwa aman

Huenda alitaman asali jumapili ya matawi nyumban kwao
 
AJALI INA KINGA wachana na huu uswahili uswahili wa kusema ajali haina kinga. Na hii imedhibishwa kisayansi. Ajali nyingi ni man made i.e uzembe wetu. Ndiyo maana usafiri wa ndege uko safe sana kwa sababu wanachukuwa tahadhari kubwa.
nani anajua siku yake ya kufa? Kama kuna mtu hapa aniambie,lakini kama hakuna mtu ajuaye siku yake ya kufa basi hata MKURUGENZI wa TANESCO hakujua siku na kisababishi cha kifo chake.

kifo ni kifo tu,tutabaki kulaumiana tu badala ya kumshukuru MUNGU kwa maisha ya gissima hapa duniani.

Hata wewe ukifa mkuu,watu watalaumu tu,lakini licha ya lawama zao haiwezi kusaidia kitu.

AHSANTE MUNGU KWA KUMLETA DUNIANI MR. GISSIMA,AMETENDA YOTE ULIYOMTUMA SASA ANARUDI KWAKO. wanadamu tu mavumbi,na mavumbini tutarudi.

MWENYEZI MUNGU ipumuzishe roho ya marehemu mahala pema peponi. Amina.
 
LC 300 imeisha yoote. So poa mazee
Changamoto nyingine, hawa ndugu zetu wanaoendesha haya magari ya kifahari, huwa wanaona kushusha vioo wakati wa safari ni kama ushamba au unachafua gari.


Wao muda woote ni vioo juu mwendo wa full ac. Jamani ndugu zangu, safari ndefu jaribuni kushusha vioo vya gari, dereva shusha hata cha kwako ili upepo ukupige kukata wenge la usingizi
 
Mhandisi Nyamohanga Gissima Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva wake ambaye jina lake ni Muhajir Mohamed Haule, wamefariki Dunia kwenye Ajali liyyotokea saa nane Usiku wakiwa njiani kuelekea Msoma. Walikuwa wanakaribia Serengeti
View attachment 3302678View attachment 3302679
Picha hapa juu ni Muhajir Mohamed Haule, Dereva wa TANESCO wakati wa Uhai wake

Wapumzike kwa amani

"Tunayaangaza maisha yako"

TANESCO MAKAO MAKUU, S.L.P. 453, DODOMA, TANZANIA, SIMU 180

TAARIFA KWA UMMA

TANZIA

Jumapili, 13 Aprili 2025.

Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga, kilichotokea leo tarehe 13 Aprili 2025 kufuatia ajali ya gari iliyotokea katika Wilaya ya Bunda, Mkoani Mara.

Bodi ya Wakurugenzi inatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa, wafanyakazi wa TANESCO, na Watanzania wote kwa msiba huu mkubwa.

Taarifa zaidi kuhusu taratibu za mazishi na shughuli nyingine za maombolezo zitatolewa kadri mipango inavyoendelea kuratibiwa.

Imetolewa Na:

KURUGENZI YA MAWASILIANO NA HUDUMA KWA

WATEJA TANESCO MAKAO MAKUU DODOMA

====

MY TAKE

Tanzania tumemkosea nini Mungu? Kwanini tukipata Mchapakazi hadumu kwenye Uongozi anafariki Dunia? Inabidi tuliombee Taifa. Nampongeza Nyamohanga kwa kulitendea haki taifa. Alijuwa mchapakazi na mwenye IQ kubwa pia ameachia Vitu vingi na kafanya vitu vingi TANESCO sio Kama yule Maharage na Kampani yake. Nahisi kuna mkono wa mtu.

Kuna watu 2 toka mkoani Mara waliokuwa mahiri sana na wamekufa wakihitajika sana kulitumikia Taifa lao. Mafuru na Nyamhanga. These people are believed they were industrious hard working, and faithful.
Mhandisi Nyamohanga Gissima Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva wake ambaye jina lake ni Muhajir Mohamed Haule, wamefariki Dunia kwenye Ajali liyyotokea saa nane Usiku wakiwa njiani kuelekea Msoma. Walikuwa wanakaribia Serengeti
View attachment 3302678View attachment 3302679
Picha hapa juu ni Muhajir Mohamed Haule, Dereva wa TANESCO wakati wa Uhai wake

Wapumzike kwa amani

"Tunayaangaza maisha yako"

TANESCO MAKAO MAKUU, S.L.P. 453, DODOMA, TANZANIA, SIMU 180

TAARIFA KWA UMMA

TANZIA

Jumapili, 13 Aprili 2025.

Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga, kilichotokea leo tarehe 13 Aprili 2025 kufuatia ajali ya gari iliyotokea katika Wilaya ya Bunda, Mkoani Mara.

Bodi ya Wakurugenzi inatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa, wafanyakazi wa TANESCO, na Watanzania wote kwa msiba huu mkubwa.

Taarifa zaidi kuhusu taratibu za mazishi na shughuli nyingine za maombolezo zitatolewa kadri mipango inavyoendelea kuratibiwa.

Imetolewa Na:

KURUGENZI YA MAWASILIANO NA HUDUMA KWA

WATEJA TANESCO MAKAO MAKUU DODOMA

====

MY TAKE

Tanzania tumemkosea nini Mungu? Kwanini tukipata Mchapakazi hadumu kwenye Uongozi anafariki Dunia? Inabidi tuliombee Taifa. Nampongeza Nyamohanga kwa kulitendea haki taifa. Alijuwa mchapakazi na mwenye IQ kubwa pia ameachia Vitu vingi na kafanya vitu vingi TANESCO sio Kama yule Maharage na Kampani yake. Nahisi kuna mkono wa mtu.

na
 
Pole kwa wafiwa.

I will refrain from all speculations and innuendo during this time of mourning.
 
Ina tegemea una tumia gari Gani
Kijana hiyo ni LC 300 uma ya masaa hiyo Dar Musoma 6 hrs tu
masaa 6? Labda barabara yote iwe nyeupe,yaani hakuna gari yeyote inayopita ndipo atleast masaa10
 
Dereva mshenzi kama washenzi wengine tu, alikua anakimbiza gari usiku

Dereva kaua boss

FATA SHERIA BILA SHURUTI

waliokuwa wanafanya biashara na tanesco kwa mgongo wa bosi jiandaeni
1. Kuzunguka makorido ya tanesco kudai
2.kuziona sura halisi za mlio waona wadogo mnawaby pass tu
3.kutolipwa pesa zenu
5.TANGAZENI MSAMAHA, SERIKALI HAILOGEGKI
 
Back
Top Bottom