TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Hii misafara kwenye highways utafikiri tumejenga 8 lanes na moja niyakwao kumbe hamna Kila kitu matokeo yake kulazimisha watumiaji wengine wa barabara kupisha hata kama sehemu sio salama.

Unamlazimisha mtu kupisha msafara ilihali upande wakupisha kwa muda huo kuna korongo, wakati mwingine unapishana na msafara alfajiri na yake mataa huku na kule ni hatari aisee.
 
Hii misafara kwenye highways utafikiri tumejenga 8 lanes na moja niyakwao kumbe hamna Kila kitu matokeo yake kulazimisha watumiaji wengine wa barabara kupisha hata kama sehemu sio salama.

Unamlazimisha mtu kupisha msafara ilihali upande wakupisha kwa muda huo kuna korongo, wakati mwingine unapishana na msafara alfajiri na yake mataa huku na kule ni hatari aisee.
Babati hiyo tukapitwa fyuu na jamaa hawa wa misafad then Askari bila weredi anakuonyesha park park..dereva aligoma mpaka alipoona sehemu yenye nafuu akaweka gari pembeni.

Tunafika Singida kawekwa chini ya ulinzi,watu wote tukasema muwe mnaangalia sehemu za kuweka gari pembeni.
 
God has nothing to do with accidents.

Negligence is what causes accidents.
Tunamsingizia tu,kule Iringa treka imeharibika almoat siku nne ipo palepale tena pembeni kidogo..
Katoka kijana huko na Brevis imewaka mbaya ,trekta hii hapa konani na kumebana na yale machuma..unafanyajd unaingia tu nyuma ya Treka..R.I.P
 
Tanzania tumemkosea nini Mungu? Kwanini tukipata Mchapakazi hadumu kwenye Uongozi anafariki Dunia? Inabidi tuliombee Taifa. Nampongeza Nyamohanga kwa kulitendea haki taifa. Alijuwa mchapakazi na mwenye IQ kubwa pia ameachia Vitu vingi na kafanya vitu vingi TANESCO sio Kama yule Maharage na Kampani yake. Nahisi kuna mkono wa mtu.
Hakuna tulipomkosea Mungu mpaka siku serikali itapo amaua kushughulikia made madereva wake wanaoendesha hovyo bila tahadhari.
 
Ndio asafiri SAA nane ya usiku? Kuendesha Gari usiku ni hatari sana kwa dereva, abiria, chombo chenyewe na watumiaji wengine wa barabara.
Ndio maana kwenye taasisi zinazoongozwa na watu wenye akili wanakuwa na kitu kinaitwa journey management kabla ya kuanza safari yoyote.

Anaonyesha safari itaanza asubuhi ya SAA ngapi, mtapita njia ipi? Barabara mtakayoitumia ikoje? Mtakula wapi? Mtalala wapi? Etc.

Unapoendesha Gari kukiwa na mwanga wa Asili, dereva huona vizuri na akili inakuwa active.

Kuendesha SAA nane usiku ni hatari sana, boss kalala, dereva anaendesha huku kasinzia
Nakumbuka Serikali ilitoa miongozo kwamba viongozi wanapokuwa safarini ifikapo saa. 12 watafute sehemu salama wapaki.
Huu ushauri haufuatwi na viongozi wengi isipokuwa viongozi wakuu wa nchi wao hawaruhusiwi kusafiri baada ya mida hiyo
 
Kwakweli ni pigo kubwa sana kwa Taifa na Tanesco jamaa alikuwa mtu hasa mchapa kazi mwenye upendo hana makuu
 
Pia wengine hawana uwezo wa kuendesha safari ndefu sana

Binafsi mfano nina uwezo wa kuendesha safari ndefu masaa 14 mfululizo mchana bila kupumzika lakini maximum.mwisho saa mbili usiku

Ila huwa sili chakula kabisa nikila kikianza kusagika huwa nasikia usingizi wa hapa na pale Nashtuka gari inahama hama kwenye barabara sababu ya usingizi wa kustukiza
Nakuwa natumia tu maji ya kunywa kidogo kidogo ya moto sio baridi nikiendesha

Safari ndefu zaidi ya saa mbili usiku hata kama ya masaa sita hata niwe nimepumzika sitaki kuendesha Kuna kausingizi kakustukiza hapa na pale huhitaji madereva wazoefu hasa wa uendeshaji usiku

Hata marubani wa ndege huhitaji marubani wazoefu wenye night rating kubwa kuendesha ndege usiku
Mkuu upo sahihi sana ,usiku ni habari nyingine.
Mbeya-Dom-Kigoma( 5 Times) (4 Times alone)
Nilifika Kasulu mvua inanyesha,ikanilazimu nisimame then nitoke nje nilowe huku nazunguka gari.
Wale jamaa wa Makere(Kambi ya wakimbizi) wakasimama wanauliza chief kwema😀😀😀
Siji kurudia tena ,japo ni kutafuta pesaa.
 
Tunamsingizia tu,kule Iringa treka imeharibika almoat siku nne ipo palepale tena pembeni kidogo..
Katoka kijana huko na Brevis imewaka mbaya ,trekta hii hapa konani na kumebana na yale machuma..unafanyajd unaingia tu nyuma ya Treka..R.I.P
Supidi Kills wanaambiwa kila siku hawaelewi !
Sasa tuwaambie labda kwa Kisukuma “ mguchaa bhagosha Hiii ! Angalilagi 😳 !
 
images.jpeg
 
Mhandisi Nyamohanga Gissima Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva wake ambaye jina lake ni Muhajir Mohamed Haule, wamefariki Dunia kwenye Ajali liyyotokea saa nane Usiku wakiwa njiani kuelekea Msoma. Walikuwa wanakaribia Serengeti
View attachment 3302678View attachment 3302679
Picha hapa juu ni Muhajir Mohamed Haule, Dereva wa TANESCO wakati wa Uhai wake

Wapumzike kwa amani

"Tunayaangaza maisha yako"

TANESCO MAKAO MAKUU, S.L.P. 453, DODOMA, TANZANIA, SIMU 180

TAARIFA KWA UMMA

TANZIA

Jumapili, 13 Aprili 2025.

Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga, kilichotokea leo tarehe 13 Aprili 2025 kufuatia ajali ya gari iliyotokea katika Wilaya ya Bunda, Mkoani Mara.

Bodi ya Wakurugenzi inatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa, wafanyakazi wa TANESCO, na Watanzania wote kwa msiba huu mkubwa.

Taarifa zaidi kuhusu taratibu za mazishi na shughuli nyingine za maombolezo zitatolewa kadri mipango inavyoendelea kuratibiwa.

Imetolewa Na:

KURUGENZI YA MAWASILIANO NA HUDUMA KWA

WATEJA TANESCO MAKAO MAKUU DODOMA

====

MY TAKE

Tanzania tumemkosea nini Mungu? Kwanini tukipata Mchapakazi hadumu kwenye Uongozi anafariki Dunia? Inabidi tuliombee Taifa. Nampongeza Nyamohanga kwa kulitendea haki taifa. Alijuwa mchapakazi na mwenye IQ kubwa pia ameachia Vitu vingi na kafanya vitu vingi TANESCO sio Kama yule Maharage na Kampani yake. Nahisi kuna mkono wa mtu.

Pengine tutapata nusra ya hii katakana umeme. Mungu amuweke anapostahili.
 
Ngoja niwape siri;

1. Magari ya serikali na taasisi zake yanapaswa kusafiri mwisho saa 12 jioni, ila mabosi walio wengi wanaforce, mabosi kibao wanatingwa na adhoc zisizoisha such that kwenye safari hajui anaondoka saa ngapi, most of them wanalazimika kusafiri usiku. Wakisema waondoke na Air Tanzania ndo hao abiria mnajikuta ratiba ya safari inabadilishwa kuwasubiri.

2. Huyo dereva angepona angekiona cha mtema kuni, maana wadogo ndiyo huadhibiwa zaidi, wakubwa hukingiana kifua. Hapo dereva hana say bosi akisema twende mnaenda! Anytime, anywhere

3. Magari ya serikali na taasisi zake yanakimbia mnoooooo! Sijui mnanielewa? Kwa speed wanayopendaga kwenda anything minor kikitokea can lead to a catastrophic disaster, ndo maana wanakufa sana. Ukiachana na kufa wanapata sana ajali, probably kuliko category nyingine yeyote ya vehicles za barabarani.

Umewahi kusikia magari ya NGO yanapata ajali, say AMREF, FAO, sijuo UN, mbona yapo mengi sana na wanasafiri sana long distances?, ni yana nidhamu, maana ofisi zao zinacontrol speed na location za magari! Dereva anaweza kupoteza kazi, so afisa huna say, dereva akisema gari inapark, inapark!!!

4. Mabosi kufasiri kwa ndege would lead to gharama kubwa sana za kuendesha ofisi za serikali. Fungu za hizi idara ni ngumu sana kusema waweke na gharama za usafiri wa anga na vile hapa tz ni very expensive, these people wanasafiri sana pia, probably several time a month. Kwa gari tu hapo usishangae yeye na dereva na mafuta ofisi ikalipa hata 5m kwa safari ya siku 5. Akifika kule atahitaji gari, wanaoendaga kwa ndege magari yanawafuata chini. After all ndege ya nini kama ofisi ina gari na dereva anayelipwa kila mwezi kwa kazi hiyo, hamuoni kama ni kuongeza gharama zinazoepukika?

Ushauri: Nyie mlio juu ya hawa mabosi acheni kuwapa pressure zisizo na maana. Kama ana safari mwache ajiandae na aendelee na safari yake salama. Hizo calls za ghafla mara waziri anataka hiki, mara Katibu Mkuu anataka hiki, mara fulani kaagiza hili ni kukosa mipango mizuri ya kazi, why can't you coordinate schedules zenu ili kuheshimu ratiba ya kila mmoja wenu?. Stop the nonsense ad-hoc issues.

Halafu, wewe kama ni bosi, kuna shida gani ukichelewa event kama aliye juu yako alikuchelewesha? Wait for a proper time, control speed ya dereva na make sure analala vya kutosha! Madereva wengi macho mekundu almost meusi indicating hawalani hawa watu, na you trust this person na maisha yako? Pathetic.

Usingizi ni takwa na asili la binadamu yeyote, akilimbikiza mwili utamlazimisha tu alale au asifunction vizuri, so maamuzi ya ovyo yasikushangaze. Na usiku ni wa kulala siyo kusafiri, unless dereva alilala 8 hours mchana.

Kuamini kuna uchawi hapa ni kudisplay tu imani zako za kishirikina.

Anyway, RIP. Gone too soon.
 
Tunamsingizia tu,kule Iringa treka imeharibika almoat siku nne ipo palepale tena pembeni kidogo..
Katoka kijana huko na Brevis imewaka mbaya ,trekta hii hapa konani na kumebana na yale machuma..unafanyajd unaingia tu nyuma ya Treka..R.I.P
Hiyo ajali yake usiombe. Mtu anajikuta amezindukia jehanamu au firdausi.
 
Back
Top Bottom