peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Idadi ya wajane,inaongezeka Kwa Kasi kubwa mno
Na hii katakana umeme yeye haimuhusu ehh? Hebu tujuze manufaa ya uongozi wake ?Kwakweli ni pigo kubwa sana kwa Taifa na Tanesco jamaa alikuwa mtu hasa mchapa kazi mwenye upendo hana makuu
Hakuwa na mpango wa kugombea Jimbo?? Maana kipindi hiki ni habari ya vifo mwanzo mwisho ukitangaza niaMhandisi Nyamohanga Gissima Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva wake ambaye jina lake ni Muhajir Mohamed Haule, wamefariki Dunia kwenye Ajali liyyotokea saa nane Usiku wakiwa njiani kuelekea Msoma. Walikuwa wanakaribia Serengeti
View attachment 3302678View attachment 3302679
Picha hapa juu ni Muhajir Mohamed Haule, Dereva wa TANESCO wakati wa Uhai wake
Wapumzike kwa amani
"Tunayaangaza maisha yako"
TANESCO MAKAO MAKUU, S.L.P. 453, DODOMA, TANZANIA, SIMU 180
TAARIFA KWA UMMA
TANZIA
Jumapili, 13 Aprili 2025.
Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga, kilichotokea leo tarehe 13 Aprili 2025 kufuatia ajali ya gari iliyotokea katika Wilaya ya Bunda, Mkoani Mara.
Bodi ya Wakurugenzi inatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa, wafanyakazi wa TANESCO, na Watanzania wote kwa msiba huu mkubwa.
Taarifa zaidi kuhusu taratibu za mazishi na shughuli nyingine za maombolezo zitatolewa kadri mipango inavyoendelea kuratibiwa.
Imetolewa Na:
KURUGENZI YA MAWASILIANO NA HUDUMA KWA
WATEJA TANESCO MAKAO MAKUU DODOMA
====
MY TAKE
Tanzania tumemkosea nini Mungu? Kwanini tukipata Mchapakazi hadumu kwenye Uongozi anafariki Dunia? Inabidi tuliombee Taifa. Nampongeza Nyamohanga kwa kulitendea haki taifa. Alijuwa mchapakazi na mwenye IQ kubwa pia ameachia Vitu vingi na kafanya vitu vingi TANESCO sio Kama yule Maharage na Kampani yake. Nahisi kuna mkono wa mtu.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.Mkuu, mbona unaiburunyua lugha nzuri ya Kiingereza?
Hivi wee ulienda skuli kusomea ujinga?
FT: 1 - 1
Wanasema ana age gani, maana maboss wa Tanzania kwa mihimizo hawajambo, nakumbuka kifo cha Salome Mbatia kwenye ajali NjombeKwa umri wa huyo dereva na muda waliokuwa wanasafiri huenda alisinzia barabarani.
R.I.P

🤣Hata mimi nilipokuwa mdogo kijijini kwetu huko, nilikuwa nadhani wali kwa kuku ndicho chakula cha kifahari na ghali duniani kote.
Wanaweza sana, ila wanapenda mwendo mkali. Ukikaa na kutafakari gari ni kazi ya mikono ya binadamu, na kwamba dereva naye yuko subjected to making mistakes, na kwamba mwendo mkali unazuia kuekupa mengi hata yale madogo, na kwamba hata hayo madogo kwenye mwendo mkali yanaweza kukukutanisha na Israeli mtoa roho, huwezi kukubali ukimbizwe. Shida mtu bosi ila IQ ya kisoda.Sio madereva tu, Hata hao viongozi ni stupid vilevile.
Utakubalije kukimbizwa kama gazeti na wewe umekaa tu ume relax?
Au hao viongozi hawana mdomo wa kusema punguza mwendo?
Not an issue kwa serikaliKusafiri kwa Gari kutoka Dar hadi Musoma ni ngharama kubwa na hatari sana kuliko kupanda ndege
Ingalikua wa tume chadema leo pasingetosha. Innalillah Raajiun. Kikubwa kumfanyia wema kila kiumbe mwenzio. Utaondoka na watu wakusahauMhandisi Nyamohanga Gissima Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva wake ambaye jina lake ni Muhajir Mohamed Haule, wamefariki Dunia kwenye Ajali liyyotokea saa nane Usiku wakiwa njiani kuelekea Msoma. Walikuwa wanakaribia Serengeti
View attachment 3302678View attachment 3302679
Picha hapa juu ni Muhajir Mohamed Haule, Dereva wa TANESCO wakati wa Uhai wake
Wapumzike kwa amani
"Tunayaangaza maisha yako"
TANESCO MAKAO MAKUU, S.L.P. 453, DODOMA, TANZANIA, SIMU 180
TAARIFA KWA UMMA
TANZIA
Jumapili, 13 Aprili 2025.
Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga, kilichotokea leo tarehe 13 Aprili 2025 kufuatia ajali ya gari iliyotokea katika Wilaya ya Bunda, Mkoani Mara.
Bodi ya Wakurugenzi inatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa, wafanyakazi wa TANESCO, na Watanzania wote kwa msiba huu mkubwa.
Taarifa zaidi kuhusu taratibu za mazishi na shughuli nyingine za maombolezo zitatolewa kadri mipango inavyoendelea kuratibiwa.
Imetolewa Na:
KURUGENZI YA MAWASILIANO NA HUDUMA KWA
WATEJA TANESCO MAKAO MAKUU DODOMA
====
MY TAKE
Tanzania tumemkosea nini Mungu? Kwanini tukipata Mchapakazi hadumu kwenye Uongozi anafariki Dunia? Inabidi tuliombee Taifa. Nampongeza Nyamohanga kwa kulitendea haki taifa. Alijuwa mchapakazi na mwenye IQ kubwa pia ameachia Vitu vingi na kafanya vitu vingi TANESCO sio Kama yule Maharage na Kampani yake. Nahisi kuna mkono wa mtu.
Landa ana kibetriMkurugenzi wa Tanesco anasafiri umbali wote kutoka dar mpaka Msoma kwa gari kwani ndege hazikuwepo?
China hutengeneza bidhaa kulingana na mitaji waliyonayo Wahusika "haiachi fedha" hata hivyo mabasi ya China yanayouzwa dunia ya kwanza na ya pili huwezi kukejeli kwa ubora na thamani zake kimauzo na kimanunuzi.🤣
Msamehe tu Mkuu, hao ndiyo wale kila bus jipya la mchina wanaliita Luxury provided that lina vimulimuli
Siku hiizi magari mengi ya serikali yanabandikwa namba binafsi fake, jirani yangu anaishi Kibaha gari yake ilionekana inadaiwa faini kwa makosa yaliyofanywa Mwanza kama sikosei Arusha wakati haijawahi kwenda huko, jamaa akaomba jina la dereva aliyekuwa na hilo gari, akapewa akaenda fb akalitafuta akafanya urafiki na huyo jamaa baada ya kumdodosa akamblockKuna picha moja nimeona kule x, nadhan ilipigwa usiku kabla kutolewa hiyo plate number. Ni plate number binafsi.
Naona kulipokucha wakaitoa...sijui kwa nini
Assessment nzuri sanaMaisha haya!!!
Ukiuliza:
Kwanini madereva wa serikali wanakimbiza sana magari utaambiwa boss alikuwa na haraka
Kwanini wanaasafiri usiku wa manane utaambiwa kuna utulivu na njia ni salama sana
Kwanini wananunua magari ya Mil 600 watakuambia ni salama sana na ngumu kupata ajali
Imagine kishindo cha kuhamisha na kutenganisha gari kubwa na tela yake na hata kuzibua vizibo vya tank la mafuta speed ilikuwa ngapi kama siyo Km 160+ PH
Zile ni Baiskeli zenye negative energies za usiku 😳 !Unakwepaji baiskeli saa 6,7,8 usiku ,ukweli usemwe mwendokasi mwendokasi
Mwendo wa ngiri mkia juu.70% kwa bongo weka na Barabara sana ndio umaliza kila kitu.
Watu wanatembea usiku kama mchana.
Asante mkuuAssessment nzuri sana