Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 1,436
- 1,769
Unauliza ama unatoa taarifa?Sidhani kama umenielewa ,mkuu wa kitengo anapata posho ya Ndege ...unataka kusema anapata chini ya 250k kwa siku?
Unauliza ama unatoa taarifa?Sidhani kama umenielewa ,mkuu wa kitengo anapata posho ya Ndege ...unataka kusema anapata chini ya 250k kwa siku?
Huyu alikuwa kibati sana imagine 👇Wanaweza sana, ila wanapenda mwendo mkali. Ukikaa na kutafakari gari ni kazi ya mikono ya binadamu, na kwamba dereva naye yuko subjected to making mistakes, na kwamba mwendo mkali unazuia kuekupa mengi hata yale madogo,
Pole sana kwa kufiwa na rafiki yako mkuu !!Hapana jamaa ni Mkurya wa Tarime karibu na kwaGachuma njia ya kwenda Nyamongo. Gissima Nyamo-hanga. Hiyo Nyamo-Hanga ilikosewa na mwalimu wakati wa uhandikishaji wa majina shuleni, badala ya kuandika Nyamhanga yeye akaandikq Nyamo-hanga.
Class mate wangu tokea Sekondari hadi chuo kikuu UDSM. Waliopata bahati ya kutoondolewa kwenye ile mgomo pale UDSM kipindi kile cha Rais Mwinyi. Wengine tulirudia mwaka wakatutangulia kuhitimu.
Alikuwa mwanachama mtiifu wa kijaniWaliopata bahati ya kutoondolewa kwenye ile mgomo pale UDSM kipindi kile cha Rais Mwinyi. Wengine tulirudia mwaka wakatutangulia kuhitimu.
Inawezekana, kwa umri wake pamoja na nyadhifa na majukumu yake unaweza kuwa sahihii. Pia kumbuka kuna wengine ni wanachama wa ccm ila hawahusiki kwenye mambo ya chama ata kulipia kadi ya mwanachama anashangaa tu analipiwa.Alikuwa mwanachama mtiifu wa kijani
Kwa ushauri wangu viongozi wasipende kukaa kiti cha mbele karibu na dereva kwenye hayo ma PradoHayo machuma waliyogonga si yanayatoboa tu hata kabla collision haijaisha
Nakuambia ,gari ni kama mali yake kwa vile ni sehemu ya incentives zake ili afanye kazi ..Lakini kuzunguka nayo katik mazingira hayo si salama.Unauliza ama unatoa taarifa?
ulitaka achukue tahadhari zipi mkuu? Wangapi wanachukua tahadhari lakini wanakufa tu? Hata wakati ukitembea unaweza ukajikwaa ukafa kifo ni kifo tu mkuu,huenda mkurugenzi alizoea safari za namna hii,lakini kwa bahati mbaya leo amepata ajari amekufa`Useless explanation! Kama umewahi kusoma kitabu cha Kusadikika cha Shaaban Robert basi utakuwa ulikutakana na watu wanaoitwa wasadikika ambao waliishi miaka mingi iliyopita, na walikuwa na mawazo kama yako. Kama hujui siku ya kufa ndiyo usichukuwe tahadhari na kufuata kanuni za maisha salama? Mbona ukiugua unakimbilia hospital?
Inaumiza sanaTumempoteza mtu wise sana na mtu anaeamini katika kusoma vitabu ili kuongeza maarifa.
dereva hana makosa, alikuwa anaambiwa na bosi wake kuwa anawahi musoma so achochee moto kadri awezavyo. Na asipotii amri ya mkuu wake anapoteza ajira yake. Wapumzike kwa amani.Dereva mshenzi kama washenzi wengine tu, alikua anakimbiza gari usiku
Dereva kaua boss
FATA SHERIA BILA SHURUTI
waliokuwa wanafanya biashara na tanesco kwa mgongo wa bosi jiandaeni
1. Kuzunguka makorido ya tanesco kudai
2.kuziona sura halisi za mlio waona wadogo mnawaby pass tu
3.kutolipwa pesa zenu
5.TANGAZENI MSAMAHA, SERIKALI HAILOGEGKI
dhao ukiwa na maana gani mkuuKifo ni kifo tu alisikika mheshima mmoja baada ya Ally.Kibao kufariki. Mungu uwaangazie mwanga wa milele na uwape stahiki "dhao" kwa matendo yao
Kama umenisoma vzr mimi nimesema ajali huwa zina kinga na kinga yake ni kuwa waangalifu na kufuata sheria na kanuni. Mkuu, mimi sio kama namlaumu yeye, ila ni kuwa waliohusika wote kwenye ajali wote wakichunguzwa ni lazima kuna mmoja ana uzembe. Unaweza kuwa kwenye gari unafuata sheria zote na mwendo mzuri lakini akaja kichaa na lori akakugunga na kusababisha kifo, lakini unaweza kuona kabisa kuwa hapo ajali imesababishwa kwa uzembe wa lori.ulitaka achukue tahadhari zipi mkuu? Wangapi wanachukua tahadhari lakini wanakufa tu? Hata wakati ukitembea unaweza ukajikwaa ukafa kifo ni kifo tu mkuu,huenda mkurugenzi alizoea safari za namna hii,lakini kwa bahati mbaya leo amepata ajari amekufa`
Tuongelee no reform no election haya ya kifo tumwachie Yeye atoaye uhai.
Wapumzike kwa amani! Hilo lori ndio limetikiswa hivyo na hiyo V8? Walikuwa mwendo mkali sana?Mhandisi Nyamohanga Gissima Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva wake ambaye jina lake ni Muhajir Mohamed Haule, wamefariki Dunia kwenye Ajali liyyotokea saa nane Usiku wakiwa njiani kuelekea Msoma. Walikuwa wanakaribia Serengeti
View attachment 3302678View attachment 3302679
Picha hapa juu ni Muhajir Mohamed Haule, Dereva wa TANESCO wakati wa Uhai wake
Wapumzike kwa amani
"Tunayaangaza maisha yako"
TANESCO MAKAO MAKUU, S.L.P. 453, DODOMA, TANZANIA, SIMU 180
TAARIFA KWA UMMA
TANZIA
Jumapili, 13 Aprili 2025.
Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga, kilichotokea leo tarehe 13 Aprili 2025 kufuatia ajali ya gari iliyotokea katika Wilaya ya Bunda, Mkoani Mara.
Bodi ya Wakurugenzi inatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa, wafanyakazi wa TANESCO, na Watanzania wote kwa msiba huu mkubwa.
Taarifa zaidi kuhusu taratibu za mazishi na shughuli nyingine za maombolezo zitatolewa kadri mipango inavyoendelea kuratibiwa.
Imetolewa Na:
KURUGENZI YA MAWASILIANO NA HUDUMA KWA
WATEJA TANESCO MAKAO MAKUU DODOMA
====
MY TAKE
Tanzania tumemkosea nini Mungu? Kwanini tukipata Mchapakazi hadumu kwenye Uongozi anafariki Dunia? Inabidi tuliombee Taifa. Nampongeza Nyamohanga kwa kulitendea haki taifa. Alijuwa mchapakazi na mwenye IQ kubwa pia ameachia Vitu vingi na kafanya vitu vingi TANESCO sio Kama yule Maharage na Kampani yake. Nahisi kuna mkono wa mtu.
💯 %Ajali zote zinasababishwa na uzembe na ujinga.
Uzembe hufanywa na madereva either wa lorry or whatever !Kama umenisoma vzr mimi nimesema ajali huwa zina kinga na kinga yake ni kuwa waangalifu na kufuata sheria na kanuni. Mkuu, mimi sio kama namlaumu yeye, ila ni kuwa waliohusika wote kwenye ajali wote wakichunguzwa ni lazima kuna mmoja ana uzembe. Unaweza kuwa kwenye gari unafuata sheria zote na mwendo mzuri lakini akaja kichaa na lori akakugunga na kusababisha kifo, lakini unaweza kuona kabisa kuwa hapo ajali imesababishwa kwa uzembe wa lori.
mimi nilijua ni huyu dah nilishaagiza k-vant kubwa hapa kwa shangweMhandisi Nyamohanga Gissima Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva wake ambaye jina lake ni Muhajir Mohamed Haule, wamefariki Dunia kwenye Ajali liyyotokea saa nane Usiku wakiwa njiani kuelekea Msoma. Walikuwa wanakaribia Serengeti
View attachment 3302678View attachment 3302679
Picha hapa juu ni Muhajir Mohamed Haule, Dereva wa TANESCO wakati wa Uhai wake
Wapumzike kwa amani
"Tunayaangaza maisha yako"
TANESCO MAKAO MAKUU, S.L.P. 453, DODOMA, TANZANIA, SIMU 180
TAARIFA KWA UMMA
TANZIA
Jumapili, 13 Aprili 2025.
Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga, kilichotokea leo tarehe 13 Aprili 2025 kufuatia ajali ya gari iliyotokea katika Wilaya ya Bunda, Mkoani Mara.
Bodi ya Wakurugenzi inatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa, wafanyakazi wa TANESCO, na Watanzania wote kwa msiba huu mkubwa.
Taarifa zaidi kuhusu taratibu za mazishi na shughuli nyingine za maombolezo zitatolewa kadri mipango inavyoendelea kuratibiwa.
Imetolewa Na:
KURUGENZI YA MAWASILIANO NA HUDUMA KWA
WATEJA TANESCO MAKAO MAKUU DODOMA
====
MY TAKE
Tanzania tumemkosea nini Mungu? Kwanini tukipata Mchapakazi hadumu kwenye Uongozi anafariki Dunia? Inabidi tuliombee Taifa. Nampongeza Nyamohanga kwa kulitendea haki taifa. Alijuwa mchapakazi na mwenye IQ kubwa pia ameachia Vitu vingi na kafanya vitu vingi TANESCO sio Kama yule Maharage na Kampani yake. Nahisi kuna mkono wa mtu.
Mwendokasi, mwendokasi, mwendokasi,Mhandisi Nyamohanga Gissima Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva wake ambaye jina lake ni Muhajir Mohamed Haule, wamefariki Dunia kwenye Ajali liyyotokea saa nane Usiku wakiwa njiani kuelekea Msoma. Walikuwa wanakaribia Serengeti
View attachment 3302678View attachment 3302679
Picha hapa juu ni Muhajir Mohamed Haule, Dereva wa TANESCO wakati wa Uhai wake
Wapumzike kwa amani
"Tunayaangaza maisha yako"
TANESCO MAKAO MAKUU, S.L.P. 453, DODOMA, TANZANIA, SIMU 180
TAARIFA KWA UMMA
TANZIA
Jumapili, 13 Aprili 2025.
Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga, kilichotokea leo tarehe 13 Aprili 2025 kufuatia ajali ya gari iliyotokea katika Wilaya ya Bunda, Mkoani Mara.
Bodi ya Wakurugenzi inatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa, wafanyakazi wa TANESCO, na Watanzania wote kwa msiba huu mkubwa.
Taarifa zaidi kuhusu taratibu za mazishi na shughuli nyingine za maombolezo zitatolewa kadri mipango inavyoendelea kuratibiwa.
Imetolewa Na:
KURUGENZI YA MAWASILIANO NA HUDUMA KWA
WATEJA TANESCO MAKAO MAKUU DODOMA
====
MY TAKE
Tanzania tumemkosea nini Mungu? Kwanini tukipata Mchapakazi hadumu kwenye Uongozi anafariki Dunia? Inabidi tuliombee Taifa. Nampongeza Nyamohanga kwa kulitendea haki taifa. Alijuwa mchapakazi na mwenye IQ kubwa pia ameachia Vitu vingi na kafanya vitu vingi TANESCO sio Kama yule Maharage na Kampani yake. Nahisi kuna mkono wa mtu.
Kusafiri usiku siyo issue.Ndio asafiri SAA nane ya usiku? Kuendesha Gari usiku ni hatari sana kwa dereva, abiria, chombo chenyewe na watumiaji wengine wa barabara.
Ndio maana kwenye taasisi zinazoongozwa na watu wenye akili wanakuwa na kitu kinaitwa journey management kabla ya kuanza safari yoyote.
Anaonyesha safari itaanza asubuhi ya SAA ngapi, mtapita njia ipi? Barabara mtakayoitumia ikoje? Mtakula wapi? Mtalala wapi? Etc.
Unapoendesha Gari kukiwa na mwanga wa Asili, dereva huona vizuri na akili inakuwa active.
Kuendesha SAA nane usiku ni hatari sana, boss kalala, dereva anaendesha huku kasinzia