peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Mtu mdogo wakati ndiye kazalisha zali?Barua ya Kurugenzi ya Mawasiliano kutoka TANESCO imetaja kifo kimoja tu cha aliyekuwa DG wao na driver hatajwi. Hii ni bahati mbaya? Au watatoa notice nyingine ya driver peke yake? Au driver ni “mtu mdogo asiye na impact” na huwa hatajwi kwenye taratibu zao??
Atleast ile Taarifa kwa Umma kutok Ikulu imetambua kifo cha driver na imemtaja
kuna sehemu yoyote wameandika alikuwa anatokea dar?Kusafiri kwa Gari kutoka Dar hadi Musoma ni ngharama kubwa na hatari sana kuliko kupanda ndege
Wapi wameandika alikuwa anatoka Dar?Mkurugenzi wa Tanesco anasafiri umbali wote kutoka dar mpaka Msoma kwa gari kwani ndege hazikuwepo?
nani anajua siku yake ya kufa? Kama kuna mtu hapa aniambie,lakini kama hakuna mtu ajuaye siku yake ya kufa basi hata MKURUGENZI wa TANESCO hakujua siku na kisababishi cha kifo chake.AJALI INA KINGA wachana na huu uswahili uswahili wa kusema ajali haina kinga. Na hii imedhibishwa kisayansi. Ajali nyingi ni man made i.e uzembe wetu. Ndiyo maana usafiri wa ndege uko safe sana kwa sababu wanachukuwa tahadhari kubwa.
Mungu amuweke anapo stability sindio anakata umeme kila siku huyu tofauti na huyo Maharage iko wapi? Au kwa vile yeye hashambuliwi tu.Wata tunishaje na maV8 mkuu
Changamoto nyingine, hawa ndugu zetu wanaoendesha haya magari ya kifahari, huwa wanaona kushusha vioo wakati wa safari ni kama ushamba au unachafua gari.LC 300 imeisha yoote. So poa mazee
mmh!The yesterday me I go there the accident is danger very very sad
ndiyo,huenda alikuwa na dharula,eidha msiba,dili la hela,anampeleka mtu hosptal au dharula yeyote ileAisee baiskeli usiku wa manane?
Hapa wengi wanafeli sana katika uandishimbn dereva hajaandikwa kwenye barua?👿
Kuna watu 2 toka mkoani Mara waliokuwa mahiri sana na wamekufa wakihitajika sana kulitumikia Taifa lao. Mafuru na Nyamhanga. These people are believed they were industrious hard working, and faithful.Mhandisi Nyamohanga Gissima Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva wake ambaye jina lake ni Muhajir Mohamed Haule, wamefariki Dunia kwenye Ajali liyyotokea saa nane Usiku wakiwa njiani kuelekea Msoma. Walikuwa wanakaribia Serengeti
View attachment 3302678View attachment 3302679
Picha hapa juu ni Muhajir Mohamed Haule, Dereva wa TANESCO wakati wa Uhai wake
Wapumzike kwa amani
"Tunayaangaza maisha yako"
TANESCO MAKAO MAKUU, S.L.P. 453, DODOMA, TANZANIA, SIMU 180
TAARIFA KWA UMMA
TANZIA
Jumapili, 13 Aprili 2025.
Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga, kilichotokea leo tarehe 13 Aprili 2025 kufuatia ajali ya gari iliyotokea katika Wilaya ya Bunda, Mkoani Mara.
Bodi ya Wakurugenzi inatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa, wafanyakazi wa TANESCO, na Watanzania wote kwa msiba huu mkubwa.
Taarifa zaidi kuhusu taratibu za mazishi na shughuli nyingine za maombolezo zitatolewa kadri mipango inavyoendelea kuratibiwa.
Imetolewa Na:
KURUGENZI YA MAWASILIANO NA HUDUMA KWA
WATEJA TANESCO MAKAO MAKUU DODOMA
====
MY TAKE
Tanzania tumemkosea nini Mungu? Kwanini tukipata Mchapakazi hadumu kwenye Uongozi anafariki Dunia? Inabidi tuliombee Taifa. Nampongeza Nyamohanga kwa kulitendea haki taifa. Alijuwa mchapakazi na mwenye IQ kubwa pia ameachia Vitu vingi na kafanya vitu vingi TANESCO sio Kama yule Maharage na Kampani yake. Nahisi kuna mkono wa mtu.
naMhandisi Nyamohanga Gissima Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva wake ambaye jina lake ni Muhajir Mohamed Haule, wamefariki Dunia kwenye Ajali liyyotokea saa nane Usiku wakiwa njiani kuelekea Msoma. Walikuwa wanakaribia Serengeti
View attachment 3302678View attachment 3302679
Picha hapa juu ni Muhajir Mohamed Haule, Dereva wa TANESCO wakati wa Uhai wake
Wapumzike kwa amani
"Tunayaangaza maisha yako"
TANESCO MAKAO MAKUU, S.L.P. 453, DODOMA, TANZANIA, SIMU 180
TAARIFA KWA UMMA
TANZIA
Jumapili, 13 Aprili 2025.
Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga, kilichotokea leo tarehe 13 Aprili 2025 kufuatia ajali ya gari iliyotokea katika Wilaya ya Bunda, Mkoani Mara.
Bodi ya Wakurugenzi inatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa, wafanyakazi wa TANESCO, na Watanzania wote kwa msiba huu mkubwa.
Taarifa zaidi kuhusu taratibu za mazishi na shughuli nyingine za maombolezo zitatolewa kadri mipango inavyoendelea kuratibiwa.
Imetolewa Na:
KURUGENZI YA MAWASILIANO NA HUDUMA KWA
WATEJA TANESCO MAKAO MAKUU DODOMA
====
MY TAKE
Tanzania tumemkosea nini Mungu? Kwanini tukipata Mchapakazi hadumu kwenye Uongozi anafariki Dunia? Inabidi tuliombee Taifa. Nampongeza Nyamohanga kwa kulitendea haki taifa. Alijuwa mchapakazi na mwenye IQ kubwa pia ameachia Vitu vingi na kafanya vitu vingi TANESCO sio Kama yule Maharage na Kampani yake. Nahisi kuna mkono wa mtu.
masaa 6? Labda barabara yote iwe nyeupe,yaani hakuna gari yeyote inayopita ndipo atleast masaa10Ina tegemea una tumia gari Gani
Kijana hiyo ni LC 300 uma ya masaa hiyo Dar Musoma 6 hrs tu