TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Hakuwa na mpango wa kugombea Jimbo?? Maana kipindi hiki ni habari ya vifo mwanzo mwisho ukitangaza nia
 
Kwa umri wa huyo dereva na muda waliokuwa wanasafiri huenda alisinzia barabarani.
R.I.P
Wanasema ana age gani, maana maboss wa Tanzania kwa mihimizo hawajambo, nakumbuka kifo cha Salome Mbatia kwenye ajali Njombe
 
Kwa umri wa huyo dereva na muda waliokuwa wanasafiri huenda alisinzia barabarani.
R.I.P
Wanasema ana age gani, maana maboss wa Tanzania kwa mihimizo hawajambo, nakumbuka kifo cha Salome Mbatia kwenye ajali Njombe
 
Hata mimi nilipokuwa mdogo kijijini kwetu huko, nilikuwa nadhani wali kwa kuku ndicho chakula cha kifahari na ghali duniani kote.
🤣
Msamehe tu Mkuu, hao ndiyo wale kila bus jipya la mchina wanaliita Luxury provided that lina vimulimuli
 
Sio madereva tu, Hata hao viongozi ni stupid vilevile.

Utakubalije kukimbizwa kama gazeti na wewe umekaa tu ume relax?

Au hao viongozi hawana mdomo wa kusema punguza mwendo?
Wanaweza sana, ila wanapenda mwendo mkali. Ukikaa na kutafakari gari ni kazi ya mikono ya binadamu, na kwamba dereva naye yuko subjected to making mistakes, na kwamba mwendo mkali unazuia kuekupa mengi hata yale madogo, na kwamba hata hayo madogo kwenye mwendo mkali yanaweza kukukutanisha na Israeli mtoa roho, huwezi kukubali ukimbizwe. Shida mtu bosi ila IQ ya kisoda.
 
Ingalikua wa tume chadema leo pasingetosha. Innalillah Raajiun. Kikubwa kumfanyia wema kila kiumbe mwenzio. Utaondoka na watu wakusahau
 
🤣
Msamehe tu Mkuu, hao ndiyo wale kila bus jipya la mchina wanaliita Luxury provided that lina vimulimuli
China hutengeneza bidhaa kulingana na mitaji waliyonayo Wahusika "haiachi fedha" hata hivyo mabasi ya China yanayouzwa dunia ya kwanza na ya pili huwezi kukejeli kwa ubora na thamani zake kimauzo na kimanunuzi.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Kuna picha moja nimeona kule x, nadhan ilipigwa usiku kabla kutolewa hiyo plate number. Ni plate number binafsi.
Naona kulipokucha wakaitoa...sijui kwa nini
Siku hiizi magari mengi ya serikali yanabandikwa namba binafsi fake, jirani yangu anaishi Kibaha gari yake ilionekana inadaiwa faini kwa makosa yaliyofanywa Mwanza kama sikosei Arusha wakati haijawahi kwenda huko, jamaa akaomba jina la dereva aliyekuwa na hilo gari, akapewa akaenda fb akalitafuta akafanya urafiki na huyo jamaa baada ya kumdodosa akamblock
 
Assessment nzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…