Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Itakuwa alishituka, kimsingi huyu Mhandisi atakuwa kalogwa na CCM wenzakeHuyo dereva wa lori aliyekimbia kwanini polisi wanamfutia makosa haraka hivyo?
Kwanini muendesha baiskeli hajaonekana
licha ya elimu yangu ya darasa la pili ila ngoja nikueleweshe.Taarifa ya Tanesco inaandika "aliyekuwa Mkurugenzi..." Labda alishatumbuliwa!
tukizingatia sheria za usalama barabarani,na tukafanya marekebisho ya barabara zetu katika sehemu korofi basi tutamaliza au kupunguza hizi ajari.Zinatakiwa tafiti zifanyike zije na mapendekezo ya nini kifanyike! Labda vyombo...labda madereva...labda barabara zenyewe... Tuwekeze kwenye tafiti Ili kupata suluhisho!
RIP Gissima Nyamohanga!
well said,mzee jiwe hakuwa anatumia ndege kusafiri mikoani,ni mwendo wa gari tu,hii ilitusaidia wananchi wa kijiji chetu, wakati anapita kwa gari anafanya kampeni mwaka 2015 nadhani akiwa waziri wa ujenzi na mgombea urais wakati huo,tulisimama barabarani na kusimamisha msafara wake, tukamwambia hatujalipwa pesa yetu wakati wa ujenzi wa barabara,maeneo yetu yalipitiwa na mradi huo,mbona alimuelekeza mkurugenzi kuwa tulipwe haraka iwezekanavyo. Na kweli tulilipwa,ninavyokwambia wilaya nzima ni kijiji chetu pekee kimelipwa fidia vingine vyote hola. Ni vizuri vigogo hawa kusafiri kwa gari ili kujionea wenyewe changamoto za wananchi kuliko kusafiri kwa ndege.WanasAfiri kwa gari ili waweze kukagua maendeleo ya projects mbalimbali katikatikatikati humo mikoani chocho kwa chocho , kwa ndege huwez fanya hivyo labda utumie helicopter
nani aliyesema alikuwa anamkwepa mwendesha baskeli,alikuwepo kwenye ajari hiyo, alikuwa anafanya nini usiku wa manane ktk hifadhi, nataka shuhuda wa ajari ajibu haya maswali.Huyo dereva wa lori aliyekimbia kwanini polisi wanamfutia makosa haraka hivyo?
Kwanini muendesha baiskeli hajaonekana
Kwakweli tumechoka !Najua umetoa mawazo kwa uzoefu wako. Sasa nashauri tafiti zifanyike nchi nzima kuhusu Ajali za barabarani. Majibu yako pamoja na mengine yaje na mapendekezo ya nini kifanyike wapi, na nani, wakati gani, kivipi na kwa nini!
Hali si nzuri!
hotuba na maneno ya kutunga,usiamini kila neno linalomtoka kiongozi yeyote. Wenzio wanakaa ofsini wanajadili tukaueleze nini umma,wanapanga na kukubaliana theni ndo RPC anapewa majukumu.RPC ndiyo aliyesema dereva wa kigogo ndiyo alikuwa na makosa kwa kumkwepa mwenye baiskeli ,je angemgonga?
Alikuwa mwendo mkali,hizo gari zina mwendo banaRPC ndiyo aliyesema dereva wa kigogo ndiyo alikuwa na makosa kwa kumkwepa mwenye baiskeli ,je angemgonga?
Nakazia huwezi kupata uteuzi wa rais bila rangi ya kijani.Loyal, kigezo ni uanachamaNakukatalia. Kuna mtu namjua kabisa, alipata uteuzi( siyo na rais) nafasi ya kitaifa ya kiutendaji, walipomfuatilia (sijui why kulikuwa na interets juu ya hilo kumhusu) Katibu Mkuu au Waziri wa hiyo Wizara akaamrisha atenguliwe. Alipofuatilia aliambiwa na jamaa yake ambaye ana za ndani kuwa ni ishu ya kadi ya chama hakuwa nayo. Tena hizi za rais ndo sahau kabisa, bila kadi hupewi cheo kama hicho. Nje utaona ni mtendaji tu na anaweza asijihusishe kabisa na siasa, na utumishi wa umma unazuia kujijusisha nq siasa ukiwa kazini maana unahudumia wananchi wote, ila yeye kama yeye lazima awe kijani verified.
Wabaya huishi muda mrefu ili wapate muda wa kutubu ila wazuri ni wakati wowoteBora angefariki yule wa NEC
SureNakazia huwezi kupata uteuzi wa rais bila rangi ya kijani.Loyal, kigezo ni uanachama
Wabaya huishi muda mrefu ili wapate muda wa kutubu ila wazuri ni wakati wowote
huyo wewe unafikiri alikuwa na njaa za namna hiyo (half perdiem + perdiem) kweli ?Hakuna dharuru ndugu yangu ,hii watumishi wanajua ...Hii tunaita road trip ,hapo mtu atakaa njiani siku mbili au tatu ili kuongeza per diem ...Huyo jamaa anaweza hata kuchukua ndege ya kukodi (charter flight) akaenda anapotaka..
Ni ujanja tu ndugu yangu.
Nakuunga mkono asilimia 1000tukizingatia sheria za usalama barabarani,na tukafanya marekebisho ya barabara zetu katika sehemu korofi basi tutamaliza au kupunguza hizi ajari.
Lakini vitu vinavyotukwamisha ni rushwa(mtu gari lake bovu,ila anatoa rushwa kwa traffiki anaendelea na safari,matokeo yake gari linasababisha ajari),matumizi mabaya ya madaraka(vigogo hawafati sheria za usalama barabarani na trafiki hana cha kumfanya), ubovu wa barabara kwa baadhi ya maeneo,ila sababu iliyokuu ni rushwa zimetawala.
kabisa, vijana wanamaliza NIT hawana ajira, mnajaza vibabu, kazi kurogana tu, pia kiwepo kitengo maalumu cha madereva mahiri na ateuliwe dereva mkuu wa serikali atakaekuwa anaoitia cv za madereva na uwezo wao wa kuendesha, zamani maboss walikuwa wakihamishwa anahama na dereva wake karani wake hadi mlinzi wa nyumbani kwake anahama naeKuna jamba Serikali hua hailichukulii kwa makini but ni sababu kubwa sana ya vifo hasa ajali za magari ya serikali.Kwa upande wangu ni upeo wa elimu wa madereva-hawa,madereva wengi Serikalini nimekaa nao upeo na uelewa wao ni ndogo sana tena sana.
Serikali ibadili mifumo,hii ya kuwa dereva form 4 ni hatari sana-dereva angalau afike chuo kikuuu.thinking capacity ya mtu waliye maliza chuo kikuu haiwezi ikawa sawa na mtu wa form 4 hata kama wa chuo kikuu ni mbumbumbu.
Utafiti halisi na usio wa kitaalamu lakini !ccm na viongozi wao wanachukulia poa sana kwa matamko ya reja reja.
Hapo rambi rambi zitatolewa na SSH kuandika kwenye pages zake za social media.
Yaani itaishia hivyo!
NO! Tufanye Reforms Muhimu! Ikiwemo pia kuwekeza kwenye tafiti!
Matukio ya Ajali za barabarani yanazidi!
Haikuwa safari ya kikazi , alikuwa anenda kwao.Sasa
huyo wewe unafikiri alikuwa na njaa za namna hiyo (half perdiem + perdiem) kweli ?
Daaah ! High Speed Kills nadhani huo msemo hawautilii maanani ,barabarani ni hatari sana ! Ni bora ukawie ufike kuliko kujifanya unaharaka kumbe unaenda kutangulia.Alikuwa mwendo mkali,hizo gari zina mwendo bana
Na mabosi wao huwa ndy wanawa pump madereva wao waendeshe kwa speed
Mwisho wa siku ndy hutokea hayo
Ova
Yeah tutawalaumu bure tu huenda hawajaanza sasa hivi kufanya hivyo wameshafanya hivyo miaka mingi na walikuwa wanafika salama ila muda wao umefika wa kupata ajaliIkifika siku zenu aina Ubani iwe ndege iwe V8 pengine kashasafiri sana kwenda uko Musoma lkn Ajali ni fumbo kubwa unaweza usijue kilichopelekea wakapata Ajali,,,
mungu awasameee makosa yao nasi tupo nyuma yao!!