MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Mengine uwe unakausha vipiHuyu Rais ni wa Nchi gani? Awamu ya ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mengine uwe unakausha vipiHuyu Rais ni wa Nchi gani? Awamu ya ngapi?
Maisha yatakuwa magumu kwako kwa sababu umekuwa ''Msukuma wa Dar''!
Rudi ''Usukumani'' angalau ukalime badala ya kuzamia dar!
Zile trillions za ma Profesa Mruma na Ossoro zimefia wapi?
Tundu Lissu alisema ule ulikuwa upuuzi mkubwa akaitwa majina yote.. Sasa kiko wapi?
Tujifunze kusikiliza upande wa pili.. Tanzania ni moja..
Tumeufyata mikia ndani huku "Mabeberu"" wakicheka kuelekea bank
Nadhani ni Accasia na sio Barrick waliokua wakicheza mchezo huo.Mkuu barrick walikua wanasafirisha dhahab iliyochenjuliwa tayar wakiichanganya na makinikia ili kukimbia kodi,ndomana ishu ilibumburuka,ila kwa maana ya makinikia kama makinikia,ni ngum sana kukuta kiasi king hvyo cha dhahab
Ulikua ni mchezo mchafu walicheza barrick
Sijui kama unajibu kulingana na hoja au unajibu kulingana na hisia?Mnalazimisha wapinzani waonekane si chochote ilhali tuliokuwepo miaka hiyo watu wakinyang'anywa maeneo yao ya uchimbaji madini,waliopinga mfumo huo waliitwa majina na kuonekana wanakwamisha maendeleo.Mlipogundua ukweli mkakurupuka na kuzuia makinikia,mkasema tutalipwa US $ 190mil,wapinzani waliwaonya kuwa hatulipwi na tunaweza kushtakiwa mkwaita tena kuwa ni wasaliti,leo mnakuja tena na maneno mengi kuwa wapinzani wameumbuka.Mnaenda na mdundo wa ngoma ya manju wenu.
CCM/Watawala wetu wanatuhadaa,mikataba yenye maslahi ya kitaifa mnafanya SIRI,yakiwashinda mnalia na wapinzani.
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Tuchague viongozi wa Chama kingine chenye Sera na viongozi tofauti.Kwa ushauri wako tufanye nini kama CCM ni tatizo hapa Tanzania?
If you don't know English zip up your mouthMnapotosha. English version imesema gold worth up to 280 wewe unasema makinikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile taarifa ya Yule mkurugenzi wa TPA ilikuwa over exaggerated, kuwa kuna dhahabu nyingi,Mkuu;
Soma vizuri na uelewe maoni yangu!
Ni wapi nimesema huo ni mchanga kama mchanga wa kawaida?
Nimesem, ''Tuliambiwa na baadhi ya ‘’wataalam wa madini’’ nchini kuwa ule ni mchanga hauna thamani kama ambavyo serikali kupitia Rais Magufuli wanadai!
Nani amesema Tanzania sio moja? Hii statement inaonyesha inferiority complex! Wewe jenga tu hoja zako kama zina nguvu za hoja basi zitasimama!Zile trillions za ma Profesa Mruma na Ossoro zimefia wapi?
Tundu Lissu alisema ule ulikuwa upuuzi mkubwa akaitwa majina yote.. Sasa kiko wapi?
Tujifunze kusikiliza upande wa pili.. Tanzania ni moja..
Tumeufyata mikia ndani huku "Mabeberu"" wakicheka kuelekea bank
Tushushe na kuweka picha yake MadhabauniKama kuna mtu anambeza jpm akapimwe akili,huyu ni mjumbe wa Mungu hakika,
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nao tukae fisi teke yetu...naona ahadi ya milioni 50 kila kijiji sasa..
Hakuna cha sijui Nyerere, Mwinyi,Mkapa wala Kikwete...huyu ndiyo wa kwanza tangu Uhuru
Ni hizo ripoti ndizo zimekuwa msingi wa majadiliano na kufikia muafaka!Lissu aliwaambia zile ripoti za mruma na ossoro zilikuwa ni proffessorial rubbish naona sasa mmemuelewa lissu,
Nadhani ni Accasia na sio Barrick waliokua wakicheza mchezo huo.