Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,607
- 9,171
Naam hata Marehemu Halima Mchuka mwenyewe aliwahi kusema hivi kwamba utangazaji wa mpira wa miguu alifundishwa na Charles Hilary ikiwa pamoja na kutiwa moyo kuwa ataweza kutangaza sio lazima wanaume tu."Charles akamfundisha Halima Mchuka "
Mkuu kumbuka vzr hapa.
Aliitia doa career yake aliyoitumikia kwa muda mrefu alipoamua kuingia takatakani....Alikuwa mtenda haki katika kutoa mawasiliano au ni wale wale
Alazwe mahala pema peponi AmenDuh! R.I.P mwamba.
Huyu alikuwa mtangazaji Bora wa soka kuwahi kutokea hapa nchini Tanzania.
Cc Monetary doctor Al-mukheef
Waziri mkuu mstaafu Msuya kafariki na miaka 94, linganisha na hiyo 66...ipi mingi?Miaka 66 mingi
Sad news Mungu amrehemuKwa mujibu wa chanzo cha karibu, Hilary amefariki baada ya kuugua ghafla na mauti yamemkuta akiwa njiani kupelekwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili tawi la Mloganzila.
We jamaa aisee 😆😆WAsifu haujakamilika, hasa kwenye Elimu na aliowaacha.
Huyu ni mtu mkubwa kwenye Tasnia ya habari Tanzania na Nchi zinazosikiliza kiswahili.
Ameen ameen 🙏🏽Wanaopendwa...wanakufa
Wasiopendwa....wanakufa
Wenye nguvu....wanakufa
Dhaifu.....wanakufa
Wazuri......wanakufa
Wabaya.....wanakufa
Tajiri.......wanakufa
Masikini......wanakufa
Watawala......wanakufa
Watawaliwa.....wanakufa
Watesaji.......wanakufa
Wateswaji......wanakufa
Wenye akili ......wanakufa
Wajinga......wanakufa
Wasomi......wanakufa
Mbumbumbu.....wanakufa
Timamu.....wanakufa
Punguani......wanakufa
Wazazi........wanakufa
Wagumba.......wanakufa
Rijali ....wanakufa
Hanithi......wanakufa
Wanaume.....wanakufa
Wanawake.....wanakufa
Wajanja.....wanakufa
Washamba....wanakufa
Watoto...... wanakufa
Watu wazima......wanakufa
Wanene...... wanakufa
Wembamba.........wanakufa
Watakatifu.....wanakufa
Watenda dhambi.....wanakufa
Wewe .....utakufa
Mimi....nitakufa
Yule ......atakufa
Wote.......tutakufa
RIP brother Charles Hilary.
Lini hiyo?Last time nilikutana naye kibamba crdb bank, alikuja na gari yake Ina mziki mnene
Kifo ni fumbo