Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera awaonya wasimamizi wa uchaguzi kuwa wataumbuka

Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera awaonya wasimamizi wa uchaguzi kuwa wataumbuka

Taifa la Tanzania ni Taifa Unique Duniani!!! Mungu muumba wa Dunia na vyote vilivyomo na anaeamua Nani kesho awepo nani afe (ata kama ana Maehela na nguvu)!! Ataijalia Tanzania tarehe 30 October 2020 Serikali ambayo Watanzania wanatakiwa kuwa nayo 2020 to 2025🙏🙏Apokei rushwa wala apendi awapendao waishi maisha mabovu kama ajataka🎂Eee Mungu uliyeumba wawepo watawala na watawaliwa,anejua kesho yetu !! uendelee kuipenda Tanzania na wala isiwe chukizo mbele yako,28.10.2020 Utupatie Viongozi tunaostaili kupewa nawe for 2020 to 2025 kwa kuwa Ufalme na Nguvu na Utukufu ni MALI YAKO SASA NA ATA MILELE🙏🙏🙏
 
Zaburi 20:7 Wengine wana Majeshi,na wengine wana mahela na Nguvu🙏Sisi Wanyonge tutategemea Uwezo na mamlaka na Nguvu za Mungu Wetu
::
Version
Some trust in chariots, and some in horses: but we will remember the name of the LORD our God.
 
Ole wao watakaomwaga damu ya Watanzania wasio na hatia!! laana ya Mungu alie hai ikawe kwao na watoto wao na kizazi chao mpaka cha 18 katika Dunia ya walio hai🙏🙏🙏So It is writen and so It shall be Done::;;
 
Hii tume imevuruga sana uchaguzi...adhabu zote za maadili wanapewa wapinzani tu, hakuna mwanaccm hata mmoja aliyekutwa na adhabu.Tume imeengua wagombea kijinga kabisa.Na mgogoro mkubwa unakuja ni wa kuengua Mawakala wa upinzani vituoni.Vinara watakua mapoli's na wakurugenzi.
 
Hakuna namna usiwajibike wewe mkurugenzi.

Afadhali ujiuzulu sasa kyonyesha kuwa unajali kuliko kusubiri rungu litakalo kuja kukuangukia.

Hivi unakumbuka yalitompata kivuitu wa Kenya?

Dhamira yake mwenyewe ilimuuma hadi kujiua kama alivyofanya Yuda isikariote baada ya wale waliompa vipande vya pesa kama mshahara wa usaliti kukataa kuvipokea alipotaka kuwarejeshea.
 
Huyu ni Kailima ambaye alikuwa Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi

Watu wanatokea mbali sana!.jpg
 
Back
Top Bottom