bosi haujioni kua wewe ndio zero brain, kwa akili yako ndogo hio kua ni sawa tume ambayo inatakiwa isiegemee upande wowote wala kuonesha wazi itikadi ya kisiasa badala yake ifanye kazi yake inavyopaswa, hii tu inaonyesha mgombea wa ccm hakuna jipya na wananchi maskini walishajichokea kitambo..zero kabisa, yani mnatetea mtu anaetaka kuweka rehani ardhi yetu? Unajidai upo deep kumbe umejaza manyoya tu kichwani. Mkiona hamuwezi kuisapoti CCM bora mkae kimya kuliko kutetea uovu.
Kuna tetesi nimezisikia toka Alhamisi iliyopita kuwa mzee Meko hofu kuu imemuingia baada ya ripoti ya ndani ya CCM kuonesha hali ya CCM kisiasa inakwenda mrama kupita maelezo toka kampeni kuanza...
Duh unamuogopa unayemsimamia?!Anahofia kukosa ajira
Baada ya Lissu kusema atalivunja vunja hili litume mahera kaingiwa hofu ya kukosa ajira na Kama alikopea nyumba imekula kwake.Duh unamuogopa unayemsimamia?!
Mpandisheni kwenye majukwaa ili awasaidie. LISSU kamatia hapo hapo.Lissu ajikite kwenye sera sio vibweka
Ukipata muda naomba ujisaidie kujijibuzero kabisa, yani mnatetea mtu anaetaka kuweka rehani ardhi yetu? Unajidai upo deep kumbe umejaza manyoya tu kichwani. Mkiona hamuwezi kuisapoti CCM bora mkae kimya kuliko kutetea uovu.
Toka lini tume ikawapangia upinzani Cha kusema,Lisu anagusa sekta zote watu wote hata wasio nufaika na ndege,sgr, flyover.Mkurugenzi hajaharibu chochote wala hajasema mumpigie kura nani, jukumu la NEC Ni kufanya kila liwezekanalo kuhakikisha amani haitoweki kwahiyo lazima watoe tamko,
Wafanyakazi si watanzania pekew katika nchi hii,asigawe madini yetu eti kupandisha mshahara wa wafanyakazi
Ajikite ktk maswala yanayogusa mtanzania wote
Mbona anapiga kampeniMkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, amesema watanzania wanataka Afya iliyoimarika, barabara nzuri, miradi ya umeme, elimu bora hawataki blah! Blah!..
Hapa patamu Sana kule ACT huku CDM kushoto nguvu ya umma kulia Robert Amsterdam ameshika peni kuangalia faulo yeyeto a file kesi the Hague,wakicheki mapolisi na mabaka awaaminiki kwan awajawaongezea mishahara 5 yrs plus haki zao,ccm wamewekwa Kati.huyu Mkurugenzi ana kadi ya mbogamboga mfukoni...
Kwamba ataongeza ataongeza mishahara kwa watumishi wa umma ambayo ni kwa mujibu wa sheria ni kiroja? Kwamba atatetea KOROSHO zilizoporwa bila utaratibu ni blabla?Lissu ajikite kwenye sera sio vibweka
Mama ulipotea!!Tunaposema Lissu ni hatari ndio muelewe. Mkurugenzi wa uchaguzi kachanganyikiwa na kuanza kunadi sera kama kichaa.
Sasa kama kibaraka hofu yake ni dhahiri namna hii ‘bosi’ wake ana hali gani?
Hii sio aibu, ni fedheha!
Ndio sababu wananchi wengi wanataka kuwepo na Tume Huru ya Uchaguzi. Tume ambayo itatoa haki kwa vyama vyote.Naona Pumzi wa Magu na CCM imekata, imebidi jeshi la akiba liingie kumsaidia, lakini wamechelewa sana. Leo hii NEC imekuwa chombo cha kueneza Propaganda za KiCCM!!
Walikosa sababu za kutokumtangaza sasa wanaanza kutafuta sababu za kumdisqualify.Baada ya Lisu kusema atalivunja vunja hili litume mahera kaingiwa hofu ya kukosa ajira na Kama alikopea nyumba imekula kwake.
Wao hata wapanic na boss wake wamechelewa watz tunahinataka nchi yetu tumkabidhi tuliyemchagua