Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC: Watanzania hawataki mtu atakayeuza madini yao kwa wageni nje

Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC: Watanzania hawataki mtu atakayeuza madini yao kwa wageni nje

zero kabisa, yani mnatetea mtu anaetaka kuweka rehani ardhi yetu? Unajidai upo deep kumbe umejaza manyoya tu kichwani. Mkiona hamuwezi kuisapoti CCM bora mkae kimya kuliko kutetea uovu.
bosi haujioni kua wewe ndio zero brain, kwa akili yako ndogo hio kua ni sawa tume ambayo inatakiwa isiegemee upande wowote wala kuonesha wazi itikadi ya kisiasa badala yake ifanye kazi yake inavyopaswa, hii tu inaonyesha mgombea wa ccm hakuna jipya na wananchi maskini walishajichokea kitambo..
 
Kuna tetesi nimezisikia toka Alhamisi iliyopita kuwa mzee Meko hofu kuu imemuingia baada ya ripoti ya ndani ya CCM kuonesha hali ya CCM kisiasa inakwenda mrama kupita maelezo toka kampeni kuanza...

Tuliwaambia ccm mgombea wao hauziki hawakusikia waombe po kwa tume wabadili mgombea ili kunusuru chama la sivyo wanaenda pigwa saa nane asubui.

Na huo ukali wake achague akaufanyie wapi Chato au the Hague.
 
Mkurugenzi hajaharibu chochote wala hajasema mumpigie kura nani, jukumu la NEC Ni kufanya kila liwezekanalo kuhakikisha amani haitoweki kwahiyo lazima watoe tamko.

Wafanyakazi si watanzania pekew katika nchi hii,asigawe madini yetu eti kupandisha mshahara wa wafanyakazi
Ajikite ktk maswala yanayogusa mtanzania wote
 
Duh unamuogopa unayemsimamia?!
Baada ya Lissu kusema atalivunja vunja hili litume mahera kaingiwa hofu ya kukosa ajira na Kama alikopea nyumba imekula kwake.
Wao hata wapanic na boss wake wamechelewa watz tunahinataka nchi yetu tumkabidhi tuliyemchagua
 
zero kabisa, yani mnatetea mtu anaetaka kuweka rehani ardhi yetu? Unajidai upo deep kumbe umejaza manyoya tu kichwani. Mkiona hamuwezi kuisapoti CCM bora mkae kimya kuliko kutetea uovu.
Ukipata muda naomba ujisaidie kujijibu
 
Mkurugenzi hajaharibu chochote wala hajasema mumpigie kura nani, jukumu la NEC Ni kufanya kila liwezekanalo kuhakikisha amani haitoweki kwahiyo lazima watoe tamko,

Wafanyakazi si watanzania pekew katika nchi hii,asigawe madini yetu eti kupandisha mshahara wa wafanyakazi
Ajikite ktk maswala yanayogusa mtanzania wote
Toka lini tume ikawapangia upinzani Cha kusema,Lisu anagusa sekta zote watu wote hata wasio nufaika na ndege,sgr, flyover.
 
huyu Mkurugenzi ana kadi ya mbogamboga mfukoni...
Hapa patamu Sana kule ACT huku CDM kushoto nguvu ya umma kulia Robert Amsterdam ameshika peni kuangalia faulo yeyeto a file kesi the Hague,wakicheki mapolisi na mabaka awaaminiki kwan awajawaongezea mishahara 5 yrs plus haki zao,ccm wamewekwa Kati.

Tunamshukuru Sana Mungu kutuletea jiwe ili ccm imfate ndugu yake KANU.
 
Lissu ajikite kwenye sera sio vibweka
Kwamba ataongeza ataongeza mishahara kwa watumishi wa umma ambayo ni kwa mujibu wa sheria ni kiroja? Kwamba atatetea KOROSHO zilizoporwa bila utaratibu ni blabla?

Kwamba atafuta sheria kandamizi za habar ni kiroja? Kwako wewe na wajinga wenzio sera ni nini hasa?

Huyo MAGUFULI ametangaza sera gani tangu kampeni zianze zaidi ya Kujaza wasanii kina zuchu na Kujaza malaya kina shilole viwanjani?
Madini muyauze wenyewe na kina mkapa leo mtuletee ngonjera hapa?

Peleka ujinga mbele.
 
Tunaposema Lissu ni hatari ndio muelewe. Mkurugenzi wa uchaguzi kachanganyikiwa na kuanza kunadi sera kama kichaa.
Sasa kama kibaraka hofu yake ni dhahiri namna hii ‘bosi’ wake ana hali gani?

Hii sio aibu, ni fedheha!
Mama ulipotea!!
 
Huyu Mkurugenzi wa tume Mahela nani amempa usemaje wa Watanzania. Anasema Watanzania wanataka hiki na kile amekutana nao wapi kuwahoji wanachotaka. Kwa taarifa yake jambo la kwanza ambalo Watanzania hawataki na wamechoka nalo ni chama chake cha mapinduzi.
 
Back
Top Bottom