Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC: Watanzania hawataki mtu atakayeuza madini yao kwa wageni nje

Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC: Watanzania hawataki mtu atakayeuza madini yao kwa wageni nje

zero kabisa, yani mnatetea mtu anaetaka kuweka rehani ardhi yetu? Unajidai upo deep kumbe umejaza manyoya tu kichwani. Mkiona hamuwezi kuisapoti CCM bora mkae kimya kuliko kutetea uovu.
Hiyo siyo kazi ya tume!Bila kujali kama ni kweli au si kweli juu ya tuhuma hizo,tume imeonesha inaegemea upande gani wazi wazi!
Hilo ndio linapaswa kuwa mjadala hapa!
 
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, amesema watanzania wanataka Afya iliyoimarika, barabara nzuri, miradi ya umeme, elimu bora hawataki blah! Blah!..

"Mkurugenzi" anarudia tuhuma za Polepole kwa Lissu kuwa ataweka madini rehani.
 
Hii ni dalili ya wazi kuwa ndani ya kambi ya CCM na watawala wameshapanic sana, Magu keshalegea kulegea sana, Bashiru anawatisha tu wanaCCM, PolePole anavurumisha matusi, Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi ameingia kupiga kampeni!!

Lissu kamatia hapo hapo, endelea kupiga spana tu.

Safari hii Mahakama ya ya Kimataifa ya Jinai(ICC) haiepukiki.....✌️✌️✌️
 
Jiwe pumzi imekata, cd zake za mabeberu, corona, flyover, ndege, mabeberu, haziuziki na Hana cd zingine. Huku cd za Lisu za ajira, nyongeza ya mishahara, kuondoa Sheria Kandamizi, maendeleo ya watu zikigombewa Kama nyugu.

Chaguzi ni mbili tu the Hague au Chato.
 
Back
Top Bottom