Mmekamatika zamu yenu kuisoma namba.Huwezi kuwa na uraia pacha hapa Tanzania. Ana passport ya ulaya huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmekamatika zamu yenu kuisoma namba.Huwezi kuwa na uraia pacha hapa Tanzania. Ana passport ya ulaya huyo
Hiyo siyo kazi ya tume!Bila kujali kama ni kweli au si kweli juu ya tuhuma hizo,tume imeonesha inaegemea upande gani wazi wazi!zero kabisa, yani mnatetea mtu anaetaka kuweka rehani ardhi yetu? Unajidai upo deep kumbe umejaza manyoya tu kichwani. Mkiona hamuwezi kuisapoti CCM bora mkae kimya kuliko kutetea uovu.
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, amesema watanzania wanataka Afya iliyoimarika, barabara nzuri, miradi ya umeme, elimu bora hawataki blah! Blah!..
Hii ni dalili ya wazi kuwa ndani ya kambi ya CCM na watawala wameshapanic sana, Magu keshalegea kulegea sana, Bashiru anawatisha tu wanaCCM, PolePole anavurumisha matusi, Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi ameingia kupiga kampeni!!
Lissu kamatia hapo hapo, endelea kupiga spana tu.
Mungu wangu sio kwa kujisahau huku ...hii evidence mambo yakienda vibaya itamuweka pabaya mno...
Bila kutaraji kajionesha rangi zake halisi
Hiyo siyo kazi ya tume!Bila kujali kama ni kweli au si kweli juu ya tuhuma hizo,tume imeonesha inaegemea upande gani wazi wazi!
Hilo ndio linapaswa kuwa mjadala hapa!
Kaandikiwa Ile barua"Mkurugenzi" anarudia tuhuma za Polepole kwa Lissu kuwa ataweka madini rehani.
Amejitenga na watumishiAlidanganywa anakubalika
Ndo madhara ya kumsikiliza kagame anataka nini badala ya kuwasikiliza watz wanataka nini.MAGUFULI na CCM yao wamekata pumzi!! Yajayo yanafurahisha Sana✌️✌️✌️
Alitusomesha namba Sasa ni zamu yake awe mpole tu."kazi ya urais ni ngumu ni mateso"Amejitenga na watumishi.
Amejitenga na wakulima...
Kaandikiwa Ile barua
Mama ulipotea!!
Hatumtaki mkurugenzi wa NEC!
... aachie ofisi zetu!
😎
👊 ✌✌✌💥
Kwani watu wanaojitokeza kwenye kampeni za Lissu wanashinikizwa na mabeberu?Lisu hawezi kuwa rais kwa shinikizo la vibeberu vyake.
Hawezi.
Nyie wafuasi wake kuanzia 28 oktoba mtaugua vihoro