Safi sana Mzee Cheyo Uzee ni mali na hazina kuu.Huu uchaguzi wa kujaza wasanii siyo uchaguzi tume ijisahihishe.Moses Cheyo:
Jambo la kwanza, kama moja wapo ya wazee tujipongeze wote kwakuwa na kikao hiki.
Katika 4R tulizofundishwa jana R moja inayohitajika katika mswada huu ni reform.
Moja kubwa kabisa tafsiri ya tume. Huko kata anaweza kujiita tume.
Upana wa tafsiri juu ya watenda wa tume wawe wa moja kwa moja siyo kuazima kutoka TAMISEMI.
Mkurugenzi anajifungia akifungua mlamgo anatangaza matokeo yaek.
Tukiongea reconcilation ni reconcilation na voters. Mkurugenzi ameonywa kuwa uchaguzi ukienda vibaya kwako mkeka unakuja.
Tume haionekani chini. Kwenye mswada huu hatuoni tume huko chini. Ninawaambia vijana hakuna sehemu ya kukimbilia ni hapa hapa tutengeneza tume nzuri.
La pili tume wajibu wake, itusaidie kusimamia pesa. Maana uchaguzi wa sasa ni mnada ukiwa na pesa ndio unapata ubunge ukiwa huna fedha hupati.
Jukumu moja wapo kubwa kuratibu pamoja na matumizi ya fedha hayaruhusiwi. Na adhabu kali. Leo watu wanatuibia sehemu nyingi ili kukusanya pesa wawe wabunge. Kama hamsikii shauri yenu.
Je, ni lazima tuendelee na utaratibu huu. Je hatuwezi kwenye na propotional representation. Tunashindana vyama hatushindani kuwa tunapesa kiasi. Hii inasaidia kuwa na serikali ya umoja wa kitaifa. Itutafutie namna kuchaguaniani.
Yaani unahonga kiberiti au kabodo.
Wewe naona unataka numbers sisi tunataka ideas. Eti wamechangia wangapi
Mgeni Rasim
Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati
Huyu Mh. Hashim wa CHADEMA namfaham vizuri sana, huyu jamaa ana mental problems.
Nipo na Resilience usijali. 4R nazifanyia kazi.Venus Star kwa kweli uko hapa kuficha taarifa za mkutano na sio kutuhabarisha.
..unataarifu kuhusu michango inayomsifia na kumtukuza Raisi, na kuficha michango ya wanaokosoa na kueleza hali halisi ya demokrasia yetu.
View: https://www.youtube.com/watch?v=1hIdyjXCu1Q
cc Pascal Mayalla
Nipo na Resilience usijali. 4R nazifanyia kazi.
MC wa IkuluMgeni Rasim
Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati
Sahihi kabisa..Waandaaji wa huu mkutano wameweka mhabarishaji wao hapa JF ambaye anapotosha kinachoendelea ktk mkutano huo.
Uliyemtag nae ni mzee wa fursa.Venus Star kwa kweli uko hapa kuficha taarifa za mkutano na sio kutuhabarisha.
..unataarifu kuhusu michango inayomsifia na kumtukuza Raisi, na kuficha michango ya wanaokosoa na kueleza hali halisi ya demokrasia yetu.
View: https://www.youtube.com/watch?v=1hIdyjXCu1Q
cc Pascal Mayalla
Mbona hamtupi habari iliyokamilika kuhusu mkutano huo ili tuchangie mada...Sahihi kabisa
Nani akupe? Huna tv? Youtube nayo huijui.... wahedMbona hamtupi habari iliyokamilika kuhusu mkutano huo ili tuchangie mada...
Tume ya ukweli unaundwaje. Hebu toa maoni yako ndugu yangu. Huku tukitafakari 4R na baadae tufanye reforms..4R ni ulaghai.
..kama Raisi yuko serious na 4R aunde Tume ya Ukweli, Haki, na Maridhiano, kama ile iliyoundwa kule Afrika Kusini.
.