Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Mkutano huu kushirikisha Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa.
Lengo ni kujadili Miswaada ya Sheria za Uchaguzi na Sheria za Vyama vya Siasa iliyosomwa kwa mara ya kwanza Bungeni Novemba 10, 2023.
Waachane na hizi blah blah za Ccm, wajikite katika kuanzisha "Mass Movements" za Mapambano ya Kudai, na Kupigania Upatikanaji wa Katiba Mpya Itakayotokana na Maoni, Mawazo na Fikra za Wananchi wengi zaidi wa nchi hii. Waachane na Ghilba za Ccm, just a wastage of time.MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA
Kauli Mbiu;
" TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA "
MGENI RASMI;
Mhe. Othman Masoud Othman
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
🗓️ Tarehe 3 na 4 Januari, 2024
📍Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City - Dar es salaam
#ImarishaDemokrasia
#TunzaAmani
So lolote na wala si chochote!
katiba si baada ya uchaguzi mkuu2025So lolote na wala si chochote!
Hakuna Sheria yoyote ile ktk nchi hii ambayo itakuwa nzuri yenye kujenga demokrasia ikiwa Katiba (sheria mama) iliyopo ni mbaya.
Nyumba iliyo bora na imara inaanzia na kuwepo kwa Msingi imara.
Kwa nini iwe baada ya uchaguzi mkuu?katiba si baada ya uchaguzi mkuu2025
Wewe mfuasi dikteta Putin na Kiduku demokrasia unaijulia wapi??Tushiriki Kikamilifu kwa Manufaa ya Taifa letu
Mkutano wa Baraza la Vyama Vya Siasa
Kujadili Miswaada ya Sheria za Uchaguzi na Sheria za Vyama Vya Siasa iliyosomwa kwa mara ya kwanza Bungeni, mwezi Novemba 10, 2023.
[emoji2783] 3 - 4 Januari, 2024
[emoji625] Mlimani City - Jijini Dar es salaam
#ImarishaDemokrasia
#TunzaAmani
Hivyo ni vikao vya kupotezeana muda wakati ccm hawako tayari kwa mabadiliko ya kweli. Hivyo ni vikao vya kwenda kupima utayari wa vyama vya upinzani kuendelea kuburuzwa na ccm.MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA
Kauli Mbiu;
" TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA "
MGENI RASMI;
Mhe. Othman Masoud Othman
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
🗓️ Tarehe 3 na 4 Januari, 2024
📍Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City - Dar es salaam
#ImarishaDemokrasia
#TunzaAmani
Mkuu Venus Star , asante sana kwa taarifa, hii sio ya kukosa!, ila to be honest, nina wasiwasi na baadhi promo za Mkutano huu, kama baadhi ya wahusika walishirikishwa na kuridhia picha zao zitumike kuupromote huu mkutano wakati huko nyuma, walisusaga na kuzira!, maana hawa jamaa huwaga hawachelewi kuita press conference na kutangaza bado wamesusa, bado wamezira, licha ya maridhiano na kukubaliana kugawana nusu mkate!.MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA
Kauli Mbiu;
" TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA "
MGENI RASMI;
Mhe. Othman Masoud Othman
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
🗓️ Tarehe 3 na 4 Januari, 2024
📍Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City - Dar es salaam
#ImarishaDemokrasia
#TunzaAmani
inahitaji utulivu, muda wa kutosha kujadiliana, fedha, umakini, umahiri na weledi wa viwango kukamilisha jambo hili muhimu sana la waTZ wote....Kwa nini iwe baada ya uchaguzi mkuu?
Yes ni muhimu sana. Na mimi nitakuwepoMkuu Venus Star , asante sana kwa taarifa, hii sio ya kukosa!.
P
Duh!!! Nchi ya North Korea wananchi wanapewa nyumba bure. Je, hiyo siyo demokrasia?Wewe mfuasi dikteta Putin na Kiduku demokrasia unaijulia wapi??
Hakuna lolote la maana hapoMKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA
Kauli Mbiu;
" TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA "
MGENI RASMI;
Mhe. Othman Masoud Othman
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
[emoji2783] Tarehe 3 na 4 Januari, 2024
[emoji625]Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City - Dar es salaam
#ImarishaDemokrasia
#TunzaAmani
Hata majengo ya magereza nayo ni Nyumba ambazo watu (wafungwa) wanalala bure. Je, hao wafungwa wanaoishi huko Magerezani unataka kusema kwamba Wana furaha mioyoni mwao ??????Duh!!! Nchi ya North Korea wananchi wanapewa nyumba bure. Je, hiyo siyo demokrasia?