Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Bado unaendelea kutoa maoni na mtazamo wako binafsi dhidi ya wengine hiyo una uhuru nayo enjoy...Kwasababu sio mambo mageni 2020 yametokea nasasa huyu Mama nae anataka mitano tena ya Wizi🤮🤮🤧🤧🥵
Lakini lazma ung'ang'ane nayo kibinafsi kutafuta majawabu ...
vinginevyo hamna namna unaweza pata huruma kwa wanaohangaika na yao kwa uhuru na bidii....