Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa tarehe 3 na 4 Januari, 2024

Duh!!! Nchi ya North Korea wananchi wanapewa nyumba bure. Je, hiyo siyo demokrasia?
Huu ujinga wa hivyo ndio Kabudi alienda kwenye mkutano wa UN wakati wa Magufuli, eti anasomea wajumbe wa Baraza kuu la umoja wa mataifa kuwa Tanzania Kuna demokrasia kubwa kwa kujenga shule, kupeleka madawati na upuuzi wa aina hiyo. Pale ndio wazungu walijua tuna ujinga wa kiwango gani.
 
Kwahiyo wazungu ndio kipimo cha ustaarabu?
 
Na ukitaka kujua ni kiwango gani hatuna ustaarabu zaidi ya hila za kipuuzi, subiri uone kwenye huo mkutano, watu wazima watapotezewa muda wao, kisha mapendekezo mengi ya msingi yataachwa maana hayana maslahi na madaraka ya ccm.
 
Kwanini isiwe sasa na Uchaguzi uchelewe kidogo.
uchaguzi upo kwenye katiba.

hiyo ingine na maoni na mapendekezo ya wadau tu haivunji wala kuathiri utekelezwaji wa katiba iliyopo.....

so,
maoni na mapendekezo yaweza subiri
 
Na ukitaka kujua ni kiwango gani hatuna ustaarabu zaidi ya hila za kipuuzi, subiri uone kwenye huo mkutano, watu wazima watapotezewa muda wao, kisha mapendekezo mengi ya msingi yataachwa maana hayana maslahi na madaraka ya ccm.
Mimi ninajiuliza tu. Ustaarabu wa kulana mwanaume kwa mwanaume, sijui hata wanyama kama wanaustaarabu huo.
Je, upo na comment yoyote kuhusu ustaarabu wa wazungu kuhusu ushoga?
 
uchaguzi upo kwenye katiba.

hiyo ingine na maoni na mapendekezo ya wadau tu haivunji wala kuathiri utekelezwaji wa katiba iliyopo.....

so,
maoni na mapendekezo yaweza subiri
Ili Mama aibe Uchaguzi kwanza...
 
Mimi ninajiuliza tu. Ustaarabu wa kulana mwanaume kwa mwanaume, sijui hata wanyama kama wanaustaarabu huo.
Je, upo na comment yoyote kuhusu ustaarabu wa wazungu kuhusu ushoga?
Kwa taarifa yako huo ushoga hata huku kwetu umejaa vibaya, tofauti ya sisi na hao wazungu ni kuwa wako wazi mno. Ila huko kulana ni janga la kidunia.
 
Hakutakuwa na jipya. Sana sana itazuia mjadala mitaani siku 2 tu halafu kimya kutafuata.
 
Back
Top Bottom