jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Bila Shaka kinaeleweka kwa kishindoMkutano Mkuu
Tuliomba mturudishie Magufuri fanyeni hivyo kwa mslahi mapana ya Taifa Mungu atawalipa.
Ingekuwa vyama vingine,ungesikia msichanganye dini na siasa.Rais Magufuli Mwenyekiti wa CCM anawakaribisha viongozi wa kidini kuombea mkutano huu.
Andaa zoezi la uchaguzi la nyumbani kwako na uliandae vyema. Hakikisha mapungufu yote uliyoyaona, unayaepuka ili hatimaye kumpata mgombea bora wa nyumba yako.
Naona mmejazana hapo ukumbini kama hakuna Corona vile.
Konyagi ya nini tena jamani ,mwenyekiti wetu anaumia
Mtu mmoja anapigiwaje kura? fomu ilikuwa ni moja,huo si ni uharibifu wa hela za Chama. wangekiwa na ujasiri wa kufanya kama Sumaye alivyo fanyiwa upande ule sawa, ila sasa hakuna wa kuthubutu!
Mzungu muhimu ni Pompeo tu.wazungu wa ccm ni wengi mno.ndo maana kuitoa madarakani itakua ni ndoto kwa sababu ccm inamizizi nje na ndani.
tumerudi enzi hiziHabari wakuu,
Ninekuja mtembelea jamaa yangu hapa nimemkuta anafuatilia mkutano wa CCM na zoezi la upigaji kura liko linafanyika huko. Kilichonichekesha katika zoezi hili ni:
1. Hakuna usiri
2. Wajumbe wanapigiana kura (nimeona mmoja anapiga kwa niaba ya mwenzake)
3. Maandalizi hayakuwa vizuri (kuna uchache wa peni ) naona wana azimana tu, hawajui hata walienda fanya nini.
4. Naona watu wanatumia kujitangaza, baada ya kupiga kura wanajionesha ili teuzi zipite kwao.
5. Ukusanyaji wa kura ni vichekesho
kifupi, sijaona cha maana katika hili zoezi; liko kiswahili swahili sana.
Yule sio mzungu ni beberu.mjuba wewe,,,[emoji23]Mzungu muhimu ni Pompeo tu.
umesahau kunambia nichapishe fomu moja tu.Andaa zoezi la uchaguzi la nyumbani kwako na uliandae vyema. Hakikisha mapungufu yote uliyoyaona, unayaepuka ili hatimaye kumpata mgombea bora wa nyumba yako.