Uchaguzi 2020 Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amteua Samia Suluhu kuwa Mgombea Mwenza

Uchaguzi 2020 Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amteua Samia Suluhu kuwa Mgombea Mwenza

Utaambiwa mwenyekiti amepita bila kupingwa, kura zote amepigiwa na hakuna iliyoharibika
Mtu mmoja anapigiwaje kura? fomu ilikuwa ni moja,huo si ni uharibifu wa hela za Chama. wangekiwa na ujasiri wa kufanya kama Sumaye alivyo fanyiwa upande ule sawa, ila sasa hakuna wa kuthubutu!
 
Wakati burudani ya mziki inaendelea, mzee JK akawa anapitapita kwa wajumbe mara uso kwa uso na mgombea wa Zanzibar Dr Mwinyi, wakasalimia na kukumbatiana lakin baada ya kutaka kuachana kila mtu aendelee na yake mara kikwete akamuona mzungu mmoja hivi akamuita na akamshtua Mwinyi akawa anawatambulisha kama wajuane hivi na story zikaendelea Kama dakika 5 hivi na kapicha juu. JK buana!
 
wazungu wa ccm ni wengi mno.ndo maana kuitoa madarakani itakua ni ndoto kwa sababu ccm inamizizi nje na ndani.
 
Habari wakuu,

Ninekuja mtembelea jamaa yangu hapa nimemkuta anafuatilia mkutano wa CCM na zoezi la upigaji kura liko linafanyika huko. Kilichonichekesha katika zoezi hili ni:

1. Hakuna usiri
2. Wajumbe wanapigiana kura (nimeona mmoja anapiga kwa niaba ya mwenzake)
3. Maandalizi hayakuwa vizuri (kuna uchache wa peni ) naona wana azimana tu, hawajui hata walienda fanya nini.
4. Naona watu wanatumia kujitangaza, baada ya kupiga kura wanajionesha ili teuzi zipite kwao.
5. Ukusanyaji wa kura ni vichekesho

kifupi, sijaona cha maana katika hili zoezi; liko kiswahili swahili sana.
tumerudi enzi hizi
Uchaguzi mkuu mwaka 1970 kulikua na wagombea wawili wa kiti cha Urais. Wa kwanza ( 640 X 640 ).jpg
 
Back
Top Bottom