Uchaguzi 2020 Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amteua Samia Suluhu kuwa Mgombea Mwenza

Madictator huwa hawapati kura kwa hiari.
Wewe ndio umesema huo udikteta ila kura zimepigwa live hapa na zimehesabiwa live watu tumeona sasa hayo ya udikteta ni yako wewe na wenzako wenye mitazamo hasi na chonganishi.
 
Nashangaa kuona mkutano mkubwa kama huu wa chama unaelekea ukingoni bila mtu muhimu kama Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Mangula kupewa hata dakika moja ya kuzungumza.


Kama inavyosemekana mzee alipewa sumu siku za nyuma, Je inawezekana imemletea madhara mpaka kuzungumza maneno mawili imeshindikana?
 
Msanii Bob Haisa ni balaaaaa,

Kaua Sana na hilo SONGI💃💃👊👊
 
F
Wewe ndio umesema huo udikteta ila kura zimepigwa live hapa na zimehesabiwa live watu tumeona sasa hayo ya udikteta ni yako wewe na wenzako wenye mitazamo hasi na chonganishi.

Facts.
 
Kumbe mkuu uliona ile. Kile ni kitendo cha dharua sana kwa mtu mnayeheshimiana. Ukiona mtu anakaripiwa vile mbele ya hadhara, ujue huwa anapewa lugha nyingine nyingi za kejeli off camera. Na yote hiyo huchangiwa na mtu kuendekeza nidhamu za woga.
Acha kukuza Mambo mkuu unataka kunambia kuwa wewe hukuelewa kuwa alikuwa anasisitiza muda, mbona na Mh Mwinyi rais mstaafu aliambiwa hivyo hivyo tena Kuna viongozi wengine walikatishwa kabisa, ila yote hayo hukuona unakuja kushupalia eti kadharauliwa.
 
Umenikumbusha enzi hizo tukichagua kuku na yai. Ubishi unaanzia hapo, je kati ya kuku na yai nani alianza? Baadae kukawa na jembe na nyumba. Hapo Ubishi ukawa kati ya jembe na nyumba ni kipi bora katika maisha ya kila siku. Mara nyingi yule aliyekuwa na alama ya jembe alishinda si kwa sababu anafaa bali kwa sababu wengi wetu tulikuwa tunatoka familia maskini za wakulima. Hivyo tulipendelea jembe kuliko hizo nyumba ambazo kwanza hatukuwa nazo na pili tulizihusisha na matajiri wa mijini.
 
Hongera sana kwa kushinda kwa kishindo. Tunaomba awakumbuke Watumishi wa Serikali, wapande madaraja kulingana na taratibu badala ya kuwekwa kando miaka 5, sasa wengi wanasubiri teuzi tu ambazo nazo ngumu kukutana nazo
 
Wewe ndio umesema huo udikteta ila kura zimepigwa live hapa na zimehesabiwa live watu tumeona sasa hayo ya udikteta ni yako wewe na wenzako wenye mitazamo hasi na chonganishi.

Mkuu nilichokuambia sijakosea. Madictator wote hutengeneza hofu, na hupata kura zote kutokana na hofu wanayotengeneza. Nadhani uliona majibu aliyopewa jana jamaa aliyelalamikia kuhusu wapinzani kutoka huko watokako, na kupitishwa bila kupingwa. Yale ndio majibu haswa ya madictator. Ukiona kiongozi anapata kura 100%, basi ujue huyo anaoongoza makondoo na sio watu wanaofikiri.
 

Approach ya kuzingatia muda hutumika na heshima pia. Mwinyi ni mlamba viatu wa wazi. Simply ni mnafiki mwenye umri mkubwa.
 

Hayo ni umbea tu kama kuna mtu huko CCM atalalamika ni sawa lakini kama wao hawajaona shida wewe pilipili ya nini?
Demokrasia ni pamoja na kuamini uhuru unaompa mtu kukuwakilisha ukiwa umemuamini kwa kila jambo.
 
Hii Nyota Kali ya mh.Magufuli kamwe huwezi kuipata KWA KUFUATA TARATIBU ZA ELIMU ya UNAJIMU.........

Hii NYOTA Kali ya mh.Magufuli kamwe huwezi kuipata KWA KULALA MAKABURINI,KUTOA WATU MAKAFARA na hata kumweka mwanao msukule na kizuu.....

Hii NYOTA ya magufuli DIRECT ni kutoka kwa Mwenyezi MUNGU Mkuu aliyewaumba BABA NA MAMA ZETU.......

Braavoo JPM
 
Nilisha kwambia hii hoja ya udikteta kwasasa haina mashiko mkuu achana nayo tu.
Hebu tuachane na hayo kwanza mkuu msikilize mh hapo kipenzi cha watu.
 
Approach ya kuzingatia muda hutumika na heshima pia. Mwinyi ni mlamba viatu wa wazi. Simply ni mnafiki mwenye umri mkubwa.
Hizo laana za kudharau wazee mkuu ni mbaya kuwa nazo makini.
 
MH.MAGUFULI anasema;

Dr Hussein Mwinyi ni TOFAUTI na watoto wengine wa MARAIS....
HAKUBEBA URAIS WA BABA YAKE HATA KIDOGO......

Jamani naomba kuuliza.


Hivi Yule MTOTO aliyesema kaskazini haiwezi kutoa RAIS naye ana NDOTO ZA KUJA KUWA HATA WAZIRI MKUU WA TANZANIA???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…