Naungana na wewe Kwa mustakabali wa afya yangu ya akili...nisijijaze matumaini hewa mwisho nikabaki na sonona!Vishindo vipo sana tu lkn .. .. mama kubwa hang'oki.. ... ..ishapangwa ..hayo mengine ni urembo tu.. .. !
Kampeni inaanza lini?Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party
Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea
Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO
Britanicca
Watanzania hawasemi mautiuti,wageni mpo wengi sana humuIsipokuwa kwenye ile issue ya "mtoto pendwa yuko mautiuti", hapo ulituingiza cha kike 😆
ITV taarifa ya habari jana saa 2 usiku hakutajwa hata mara moja.!Bibi Kizimkazi kawekwa mtu kati.
Mkuu vipi zile tetesi kuwa Bi.Mkubwa kawekwa kizuizini,ni za kweli?
SanaTutaona mengi.
KabisaaBut I pray we get a new president this year.
This Tanzania needs a visionary leader
Watasema yote lakini nyuma ya yote hayo hawana cash,easy,majitu yenyewe yanakopa kila siku,shitKatika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party
Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea
Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO
Britanicca
Wanaoota ndoto za kifo cha CCM wanajihashua.
Wapuuzi hao wanajadiliana kugawana vyeo wakisha gawana vyeo na rasilimali za taifa hao wote kina Gwajima na pole pole utawaona wakiingia mitaani wakieleza uzuri wa kibibi cha kizimkazi. Na hapo hazina itakuwa imeisha kauswa. .Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party
Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea
Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO
Britanicca
Wapo wanajidanganya!Nani kabisha
Inaeleke wewe ni Gen Z humjui mzee Jangala!Watanzania hawasemi mautiuti,wageni mpo wengi sana humu
Elimu elimu elimu kama lowasa angeshinda angekukomboa kwa hii sera endapo angeshindaUna uhakika mbunge alijavunjwa?
Juzi baraza la mawaziri lilivunjwa, hoja yangu inawezekana vipi baraza livunje kabla ya bunge?
Mimi mwenyewe nimeshangaa hii kitu wakati Bi Dorothy Gwajima anapiga kazi kaweka tangazo la kikao na wafanya biashara wadogo.Limevunjwaje wakati unaina mawaziri bado wanazurula
Njoo tabata kimanga tupo naeInaeleke wewe ni Gen Z humjui mzee Jangala!
Kweli ngoja nifuatilie maana mkanganyiķo mkuuMimi mwenyewe nimeshangaa hii kitu wakati Bi Dorothy Gwajima anapiga kazi kaweka tangazo la kikao na wafanya biashara wadogo.
Bwana Mchengerwa alienda Jimbo la Ukonga majauzi tu kukagua mradi wa barabara.
misasa fuatilia vizuri mkuu.
Basi muulize, yeye ndiye alianzisha hilo neno.Njoo tabata kimanga tupo nae