Tetesi: Mkutano Mkuu wasogezwa ni tarehe 16/08/2025, something big with part chaja

Vyovyote vile Uchaguzi Mkuu UTAFANYIKA na Mgombea Urais wa CCM ni Rais Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza ni Dk. Emmanuel Nchimbi.
Never ardhi tumeiamuru na mbingu na anga, viwatapike km Mungu aishivyo....
Sa mtapigia kura hewa 😅
 
Uongo mtupu
 
Chawa msukule unapambania buku 7
 
Taratibu,tutaoneshana makali
 

Attachments

  • _storage_emulated_0_Android_data_com.fawazapp.blackhole_files_DCIM_blackhole_JGIPX8LUKAC345GZ1...mp4
    17.8 MB
Uongo tarehe zilisogezwa na CCM ili kusubiri chaguzi za ndani ya jumuiya za CCM viti maalumu ziishe ili majina yote yapelekwe pamoja jana ilikuwa siku ya Uchaguzi viti maalumu udiwani Umoja wa wanawake Tanzania

Tarehe 28 mkeka unatoka stay tuned
 
Taratibu,tutaoneshana makali
Waumini mnaosali hilo kanisa hameni kasalini makanisa yaliyotulia msifanywe misukule ya makanisa ya manabii wapiga pesa kwa jina la unabii mtafilisika na kufa na mitatizo yenu shauri yenu

Mungu anatafutta watu wa kumuabudu tu sio wafuata nabii kanisani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…