Mkutano wa Kitaifa wa Haki, Amani na Maridhiano, 2022: Rais Samia asema Maendeleo hayafanywi na CCM na Rais pekee, aahidi ushirikiano na vyama vingine

Rais Samia amesema vyama vyote vya siasa vimekubaliana kwenda pamoja katika kuwaletea wananchi hivyo atakayewageuka wenzake njiani huyo ni mkosi.

Rais amesema kazi ya vyama vya siasa ni kuangalia utendaji wa serikali hivyo mshikamano ni muhimu.

Source: Eatv habari

Maendeleo hayana vyama!
Ni sawa kabisa
 
Rubbish!
 
Tuombe iwe heri dhalimu atakua amezikwa tena rasmi leo.
 
Hiyo kurudi uchumi wa kati 2025 ndio itakua gia ya kampeni.
 
Binafsi ninaanza kupata matumaini ya kuishi kwenye Tanzania mpya.

Mipango ya kisiasa, kiuchumi na kijamii inayofanywa na awamu hii ya uongozi wa nchi, kwa kiwango kikubwa inaleta matumaini makubwa ya matumaini haya kutimia.

Nachelea kusema hata kauli ya MITANO TENA, kwa mara ya kwanza katika miongo zaidi ya mitatu inaanza kuniingia akilini.

Nadhani muda utaongea zaidi.
Watu wa kusifu,kuabudu na kuimba nyimbo za mapambio juu ya mtu ambae mnamfanya Mungu mtu, stupid kabisa
 
Kwa nini hajahudhuria?. Hakualikwa?. Hapa ndio ilikuwa mahala pake.

Ila nadhani huu mkutano ilifaa mama aundae kwa kipindi kwa kuupa muda. Angemualika Lisu,Mbowe. Wale wote waliokimbia nchi wawepo.
Hatua hiyo ndiyo ingeashiria kwamba kweli ipo nia ya maridhiano
 
Baadhi yetu tunaendelea kuamini eti kwa mapenzi ya Mungu ipo siku CCM kitaachia madaraka.Inachekesha!

Ukweli ni kwamba 90% ya waliopata kuwa Viongozi kupitia CCM si watu wasafi hata kidogo na kwalo kwa makandokando waliyonayo si jambo jepesi wao kuachia madaraka na ni wazi muktadha wao ni kulindana.

Nashangazwa mno na wanaodai kulidhiana hao jamaa zetu hahahaha!

Ni kheri ulidhiane na shetani na si hao Green kwa sababu ni watu walio tayari wafanye lolote ili tu wabakie madarakani.
 
Watatoka lakini baada ya miaka mingi sn
 
Hakika TANZANIA ni Moja ya NCHI ya AJABU hapa DUNIA kupata KUTOKEA.
CCM Chama Tawala Chama kinacholalamikiwa na Vyama vingine
Chama kinachotumia Dola kukaa Madarakani
Chama kinachofanya Siasa Pekee yake baada ya Kuvizuia Vyama vjngine kwa kutumia Dola
Chama kilichopiga Marufuku Mikutano ya Vyama lakini Wao Wanafanya
Chama kinacholalamikiwa kwa Kuvuruga CHAGUZI zinazofanyika kwa kutumia TUME ya UCHAGUZI ETI wao Kwa Kushikiana na TCD na MSAJILI wa VYAMA Wameandaa Mkutano wa MARIDHIANO kwa Vyama vya Siasa na MWENYEKITI Wake ndio Kateua WAJUMBE Kupitia MTEULE wake MSAJILI wa VYAMA HAYO ni MAAJABU ya TANZANUA.
Kama kweli RAIS SAMIA ana NIA ya DHATI kutoka MOYONI basi CCM iwe Mchangiaji tu kama Vyama Vingine Wala kisitoe MAELEKEZO ya nini Kifanyike.SUALA la MARIADHIANO ya KITAIFA Kinachotakiwa ni TUME HURU chini ya VIONGOZI wa DINI na WANASHERIA ili IANDAE UTARATIBU MZIMA wa KUENDESHA MARIDHIANO kama TUME ya MAREHEMU ASKOFU Desmond TUTU wa Afrika Kusini Alivyofanya na kuleta MARIDHIANO BORA kabisa kati ya MAKABURU na Waafrika.
Utaratibu unaotumika hapa Tanzania ndio chanzo cha VYAMA VIKUBWA vya UPINZANI KUKATAA KUSHIRIKI Vyama hivyo ni Pamoja na NCCR, CHADEMA na CUF.
 
Mambo ya ajabu sn
 
Back
Top Bottom