October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
- Thread starter
-
- #41
We jamaa sio wa kupuuziwa ila wazee wa dasalama bana wanafokewa na bado wanapiga makofi
Hata wewe hukutegemea kama boko litakuwa kuuubwa namna hii
πππSema kuna vigogo wanamchezesha samia ngoma yao
Huyu mama kwel form 4 alizungusha, hv kwel kwa hali ilivo anatoa hotuba kama hii, hakika boko limekuwa la mwaka
Anajiabisha sana.Walahi washajaa kwenye mfumo hawa. Hehee! Walahi sikujua ingejuwa hivi Nye Nye. Vijana morali iko juu mawinguni. Waasubiri Siku ya Jambo lao.
Sasa huyu samuya Kesho naambiwa anaenda kutoa bonge la boko walahi yachekesha si mazuri. Yaani waambiwa hutuba yake itawatia ndimi gen z. Boko kama boko.
Watu wabaya Nye. Tayari washamuingiza mkenge wanamharibia zaidi awe tegemezi kwaom. Hehee! Na bado! Askofu atatoka D6 kama winga wa kulia kisha D8 kuna suprise ndogo kama kishika uchumba. Mayi na bado.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£We jamaa sio wa kupuuziwa ila wazee wa dasalama bana wanafokewa na bado wanapiga makofi
Kwa majibu yake ina onyesha alikuwa muimba taarab enzi hizo.Tena itakuwa vizuri zaidi akitoa kichwani asisome ya kuandikiwa.
Maana ya kuandikiwa inaweza kuwa na akili za watu kidogo ukitaka Boko linoge atoe kichwani kwake mwenyewe live and direct.
Japokua halijuagi kuandika vizuriSilipuuzi tena π
Ilikuwa hotuba nzuri yemye kuonyesha mamlaka baada ya ile tafrani.Umesikia?
Upande huu naamka nasikia kamaliza wanamsema "makofi kwa rais". Nikasema afadhali I missed this shit live.
Nipo nalima tikit huku nakapanya mkuuWeeye wasema nini. Hehee ulipata Banda lakusaidia nini wee
Nipo nalima tikit huku nakapanya mkuu
Nipo nalima tikit huku nakapanya mkuu
Haya ni matatizo ya kuwapa vyeo vikubwa watu walio na uwezo mdogo, kwa kujuana.Kwa majibu yake ina onyesha alikuwa muimba taarab enzi hizo.
maana pumba alizo tema ni nyimbo ya vijembe na mashangingi.
Nimeanza kumtilia maanani πππila hili jamaa kama linakuaga linaelewa tusilichukulie poa
Nipo mkuu, tutapigwa mpaka tuchakae.Na bado. Tii shuruti bila Sheria upo wee
Hivi anajua aliyo yasema ni ushahidi wa kukiri makosa?Haya ni matatizo ya kuwapa vyeo vikubwa watu walio na uwezo mdogo, kwa kunuana.
Matokeo yake rais anatoa hotuba ya kuweka ushahidi kwa ICC.
Yeye hata haoni kuwa ni makosa, anaona anatetea utawala wake.Hivi anajua aliyo yasema ni ushahidi wa kukiri makosa?
au mpaka wasaidizi wake wamchambulie na kumuonyesha upoyoyo wake?
Kwa majibu haya ya kusema wame Jipanga muda wowote, d9 is no longer inevitable.Yeye hata haoni kuwa ni makosa, anaona anatetea utawala wake.
Samia is so dumb.