PostGE2025 Mkutano wa Samia na Wazee Desemba 2 anaenda kutoa bonge la Boko litakalotia Vijana ndimu watoke Disemba 9

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ilikuwa hotuba nzuri yemye kuonyesha mamlaka baada ya ile tafrani.

Yeyote aliyekuwa anategemea Serikali ijidogoshe dhidi ya wale waharibifu wa miundombinu na wezi alikuwa hajui maana ya Serikali

Kwamba Serikali ya Tanzania ni bora kuliko ya Kenya, Iliyo amua kuvunja baraza la Mawaziri baada ya seke seke la maandamano?

Lazima tujue tunaongoza kwa niaba ya Wananchi, Sasa kama wananchi wanasema hv na wewe unasema vile, Badala ya kufikiri maendeleo utakua unafikiri kunyamazisha watu day n night
 
Hotuba ya Leo ni dhahiri Kuna watu wanamchezea mama na bad news hajashituka, Kila mtanzania mwenye akili timamu ameduwaaaaa!!
 
WAZEE uchwara tumewaona tunaishi uswahili wote. Msiseme mlilazimishwa.
Wazee mmetutosa mmeuwa kimakofi mtahukumiwa kwa dhambi hii hamtakuwa na amani.

D9 ni lazima
 
Baada ya Serikali ya Kenya kuvunja Baraza la mawaziri unajuwa alipounda upya wangapi walirudi? Je walichokuwa wanataka GEN Z wa Kenya ni kuvunja baraza tu?
 
Tena itakuwa vizuri zaidi akitoa kichwani asisome ya kuandikiwa.

Maana ya kuandikiwa inaweza kuwa na akili za watu kidogo ukitaka Boko linoge atoe kichwani kwake mwenyewe live and direct.
Yamekuwa kama ulivyonena.
 
Oy
time traveler’s naona umekabia juu sana hatar umetembea kwenye reli
 
Ilikuwa hotuba nzuri yemye kuonyesha mamlaka baada ya ile tafrani.

Yeyote aliyekuwa anategemea Serikali ijidogoshe dhidi ya wale waharibifu wa miundombinu na wezi alikuwa hajui maana ya Serikali
hotuba sema uharo hiyo mikwala kwani kaanza leo,kulikuwa na nywinywinywi na bado MO9 watu wakapita nae uongozi ni hekima na busara
 
Hotuba ya Leo ni dhahiri Kuna watu wanamchezea mama na bad news hajashituka, Kila mtanzania mwenye akili timamu ameduwaaaaa!!
Ile ni hotuba ya kimamlaka, inakukumbusha tu kuwa Serikali ipo 24/7, hao mabarakala wa kuchoma miundombinu wakija watatukuta tumejipanga
 
hotuba sema uharo hiyo mikwala kwani kaanza leo,kulikuwa na nywinywinywi na bado MO9 watu wakapita nae uongozi ni hekima na busara
Samia ana hekima na busara sana. Kama umemsikiliza mwanzoni amesema yeye ndiye aliwaleta akina Lissu na Lema waliokuwa nje kama wakimbizi. Akaanzisha 4R lakini hao hao akina Lissu wakawa ndiyo wa kwanza kumtukana
 
kawashika akili wajinga wenzake nyie pumbavu unajua hata maana ya hekima na busara sasa
 
Samia ana hekima na busara sana. Kama umemsikiliza mwanzoni amesema yeye ndiye aliwaleta akina Lissu na Lema waliokuwa nje kama wakimbizi. Akaanzisha 4R lakini hao hao akina Lissu wakawa ndiyo wa kwanza kumtukana
Et kasema aliwakuta wako dhoofu bin khali huko ughaibun akawagea sehemu ya pesa yake ya kujikimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…