Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Mi nakwambia ukweli kabisa
Haya mapenzi haram unayofanya kila siku kwa kuwaleta watoto wa watu Geto kwako wanalala na wewe kisha alfajiri unawarejesha kwao...
Ipo siku yako nakwambia!
Mtoto wa watu akifia geto kwako, hakuna mtu atakuelewa hapo, we waone tu wanakuchekea na kukupa sifa... eti wewe ni kidume.. acha kabisa ndugu chukua tahadhari!
Sisi binadamu tunapita, hatueleweki tutakatia kamba muda gani, saa gani.. usiku au mchana!
Kama umefikia umefikia uwezo wa kupanga Geto na kuvusha kina dada kila leo, basi unaweza kuoa na kumiliki Mwanamke kihalali kabisa...
NAKUSHAURI OA..