Mkuu, huyo mtoto wa mtu unayelala nae kimya kimya siku asipoamka hakuna mtu atakuelewa hapo mtaani

Hili si jambo la kushabikia, tuna mifumo ya hovyo tu..hakuna sababu yeyote ya kumuweka ndani mtu muda wote huo! Kwa Us baadhi ya hizo murder case unapewa bail vizuri tu!
Murder case kwa Tanzania ni Nonbailable offence kwahiyo ukituhumiwa kuhusiana na kosa kama hilo au makosa ya unyang'anyi wa kutumia nguvu/silaha, uhaini ujue hamna dhamana utakaa mahabusu hadi mahakama ithibitishe hauna hatia
 
Jamaa anacompare Tz na US? Kingine anatakiwa ajue kuwa Tz hakuna color races kama US maana Kwa wenzetu yule raia namba moja ndie ana hizo privalages anazosema races zingine utatiwa hatiani haraka sana mpaka ushangae
Wanapotaja nchi za watu kuwa zina mazuri upande fulani wanatakiwa kuelewa kuwa kuna mabaya pia yaliyotukuka huko..
 
Ndo ukweli huo
 
Hahahah yaan matatizo yapo ili watu tukumbane nayo kisha yapite, basi hata wewe hiyo tabia ya kutembea kwa miguu acha, ukigongwa na pikipiki au gari je?
 
Overthinkers hakuna siku tutaishi kwa amani mpaka kifo huwa nawaza sana mambo kama haya
 
yamemkuta mtu huko Nairobi..
FB_IMG_1741769768344.jpg
 
JAMANI KIFO NI KIFO TU.......................HAMKUMUELEWA MAMA......?????????
 
Back
Top Bottom