kwa-muda
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 2,097
- 5,348
Ulikuwa ujana mkuu yani nilikuwa nina ujana na usela mavi sikuwa focused. Alikuwa mke wa kuoa yule. yeye na mwingine ambaye nilikuwa nimempa rank ya pili wale ilifaa nioe mmojawapo. Walikuwa poa sana ila nilikuwa busy collecting stones wakati nina diamonds ndani.Dooh i feel sory for her.. kumpenda mtu halaf yeye hakupendi ni jambo linalovunja sana moyo.
Wote wameolewa wana familia mimi hadi leo bado nipo nipo tu naelekea kwenye u-seniour bachelor.