Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Murder case kwa Tanzania ni Nonbailable offence kwahiyo ukituhumiwa kuhusiana na kosa kama hilo au makosa ya unyang'anyi wa kutumia nguvu/silaha, uhaini ujue hamna dhamana utakaa mahabusu hadi mahakama ithibitishe hauna hatiaHili si jambo la kushabikia, tuna mifumo ya hovyo tu..hakuna sababu yeyote ya kumuweka ndani mtu muda wote huo! Kwa Us baadhi ya hizo murder case unapewa bail vizuri tu!