Murder case kwa Tanzania ni Nonbailable offence kwahiyo ukituhumiwa kuhusiana na kosa kama hilo au makosa ya unyang'anyi wa kutumia nguvu/silaha, uhaini ujue hamna dhamana utakaa mahabusu hadi mahakama ithibitishe hauna hatiaHili si jambo la kushabikia, tuna mifumo ya hovyo tu..hakuna sababu yeyote ya kumuweka ndani mtu muda wote huo! Kwa Us baadhi ya hizo murder case unapewa bail vizuri tu!
Tabia za kisabato hizo🤣🤣🤣Wewe kijana wewe
Ndio hasa akiwa msabato kama Ms RKumbe watu wa Njombe ndio wanapenda vibaya hvy 😭
Inanunua Ng'ombe 2 na kilo 500 za Mchele dunia duarahio buku 1 na 800 inakupa kichwa sana😅
HahahaHawa ndugu zetu wabovu kama bata, kidogo tu amezima,.....nina visa vyangu acha tu yaani,...😞😞
Jamaa anacompare Tz na US? Kingine anatakiwa ajue kuwa Tz hakuna color races kama US maana Kwa wenzetu yule raia namba moja ndie ana hizo privalages anazosema races zingine utatiwa hatiani haraka sana mpaka ushangaeMurder case kwa Tanzania ni Nonbailable offence kwahiyo ukituhumiwa kuhusiana na kosa kama hilo au makosa ya unyang'anyi wa kutumia nguvu/silaha, uhaini ujue hamna dhamana utakaa mahabusu hadi mahakama ithibitishe hauna hatia
Ndo ukweli huoJamaa anacompare Tz na US? Kingine anatakiwa ajue kuwa Tz hakuna color races kama US maana Kwa wenzetu yule raia namba moja ndie ana hizo privalages anazosema races zingine utatiwa hatiani haraka sana mpaka ushangae
Wanapotaja nchi za watu kuwa zina mazuri upande fulani wanatakiwa kuelewa kuwa kuna mabaya pia yaliyotukuka huko..
I hate it when some Niggas tryna underrate their homelands and get brainwashed abroad..Ndo ukweli huo
Overthinkers hakuna siku tutaishi kwa amani mpaka kifo huwa nawaza sana mambo kama haya
Kila hatua unawaza scenario tofauti mostly worst outcomes ndio maana tunaishi kwa uoga
Kama umetishika usimulaumu aliyekutisha kwa sababu anatisha. Jilaumu wewe uliyetishika kwa sababu hajakulazimisha kutishika, umetishika kwa ridhaa yako. Sasa yeye kama anatisha afanyeje?Usitutishe