Pre GE2025 Mkuu wa Majeshi: Baadhi ya Wakimbizi wamepewa teuzi Serikalini katika nafasi zenye maamuzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Maneno ya CDF yamenifanya niogope na kutetemeka.

Sijui kwa nini walah.

Bado nashauri Rais asiende hiyo ziara ya kesho kutwa yaani January 24. Ashughulikie haya matatizo ya ndani asichukulie poa hata kidogo. Maandamano ni jambo la kutumia sana akili na utashi mwema kuyapokea na kufanyia kazi hadidu
 
Raia kutoka Zanzibari kwa sasa pia wamejazana mnoooooo kwenye taasisi za serikali zisizo za Muungano usiokuwa na Muunganiko, hadi watu tunashindwa kuhema

Ukiwagusa wanakwambia kwao Tanga, lakini story na mazungumzo yao yote ni kuhusu Zanzibar;

Jamaa hawajui hata ng'ombe sasa kweli kuna Mtanganyika asiyejua ng'ombe???
 
Hivi kiuhalisia miaka ya 1700--watanzania walikuwa ni akina nani?
 
Uhamiaji na TISS wanafanay kazi gani?
 
Hao Wahamiaji haramu wanajificha kwenye kivuli cha CCM. Hapo ndio tatizo kubwa lilipo. CCM wako tayari kufanya chochote ila sio kugusa maslahi Yao ndio maana Wana wanachama Hadi WA Kichina
Kwani familia ya Mbowe ni watanzania? Unachosema ni kweli- mzee Mbowe alijificha kwenye TANU sasa mwanae anajificha kwenye CHADEMA
 
Nadhani kwa upande wao wana kitu ila katoa taarifa na wengine wafanye km walivyofanya wao jeshi

Ila ukweli inaogopesha ingawa hii kauli ni kengele Nadhani
 
JobTrueTrue, Mwenye waachama wake kafunga kiremba kuziba masikio na miwani kuchuja vya kuona.
 
Okay....ndio kajua leo au ameamia k

Wahamiaji wote matajiri wako Ccm ndio mahali salama kwao.
 
Ni matokeo ya kuhendekeza siasa za vyama badala ya kuangalia Maslahi ya Taifa.

Hili Jambo ukiona CDF ameliongea hadharani ujue kuna Warning anatoa kiutu uzma.

Wakimbizi wnaaoteuliwa wanateuliwa na Viongozi wa kisiasa na ndani ya vyama tawala.

Ndio maana tunasema pawepo na Checks and Balance.

Leo Hii Rais anaweza kumteua mtu yeyote akampa Uraia na kumteua kuwa Waziri Mkuu na hakuna mtu wa kumzuia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…