Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sorry mkuu, naomba kuuliza:CDF ameongea mambo mazito mno kuhusu wakimbizi na walowezi wengine kujipenyeza serikalini kwenye nafasi nyeti, ni maajabu amiri jeshi mkuu kwenye hotuba yake ameonesha kuwa yeye anawaza uchaguzi tu na namna ya kulitumia jeshi kuvuka.
Inawezekana wamemwambia sana huko sirini lakini hana muda na hilo, wameamua kuweka mambo hadharani wananchi tujue, wakijua labda SSH atapata msukumo wa kulivali njuga.
Mbonaa kajibu...au badoo umevurugikaUmeshasema CDF kaongea mambo mazito mno, halafu ulitegemea ayajibu tu kiurahisi?
Lazima ajipe muda, na ningemshangaa sana kama angelikurupuka kujibu papo kwa papo.
Sijui TISS wanafanya vipi, lakini hata wakifanya itakuwa siri yao.kwani hakuna TISS hadi inakuwa hivyo? wanashindwa nini kukamata mmoja mmoja kimya kimya na kumhoji na kumrudisha nchini kwake kimyakimya?
Unaweza kutumwa ukajipenyeze au ukapenyezwa na mawakala wengine ambao tayari wapo kwenye mfumoSorry mkuu, naomba kuuliza:
Hivi ni "kujipenyeza" au "kupenyezwa"??
Wanawezaje kujipatia hizo nafasi nyeti bila kupatiwa?
Ni kweli halo itakuwa ni mbaya kiasi kwamba haivumiliki.Ukiona hadi wanasema kuwa mambo si mazuri jua kweli mambo si mazuri
Time will tell.Umeshasema CDF kaongea mambo mazito mno, halafu ulitegemea ayajibu tu kiurahisi?
Lazima ajipe muda, na ningemshangaa sana kama angelikurupuka kujibu papo kwa papo.
Yaani hiyo TISS mnavyoipamba.....kwani hakuna TISS hadi inakuwa hivyo? wanashindwa nini kukamata mmoja mmoja kimya kimya na kumhoji na kumrudisha nchini kwake kimyakimya?
Hili ni swali dume na la kutafakarishaSorry mkuu, naomba kuuliza:
Hivi ni "kujipenyeza" au "kupenyezwa"??
Wanawezaje kujipatia hizo nafasi nyeti bila kupatiwa?
Ukiona hivyo ujue mama hashauriki sirini!! Wameamua kumchongea kwa wenye nchi yaoMama atamuomba CDF ampe majina ya hao watu, bila shaka kama jeshi, hawawezi kusema hivi hivi, otherwise mkuu wa majeshi atapoteza credibility yake.
and, kwa nini ayaseme hadharani wakati kuna vikao vya Baraza la Taifa la Ulinzi na Usalama, na yeye kama Mkuu wa Majeshi ni mjumbe!? Pia Mkuu wa Majeshi kila siku kabla hajalala lazima ampe briefing Rais, na asubuhi lazima ampe hali ya usalama wa nchi, apart, ana direct access na Rais muda wowote ule!!!
Cheka TU SS 234 MBINGUNIUnaweza kuta Tanzania ni channel ya vichekesho mbinguni.
Kajibu kitu gani?Mbonaa kajibu...au badoo umevurugika
Ukiona hivyo maanaake kuna mambo hayapo sawa..kwa nini ayaseme hadharani wakati kuna vikao vya Baraza la Taifa la Ulinzi na Usalama, na yeye kama Mkuu wa Majeshi ni mjumbe!? Pia Mkuu wa Majeshi kila siku kabla hajalala lazima ampe briefing Rais, na asubuhi lazima ampe hali ya usalama wa nchi, apart, ana direct access na Rais muda wowote ule!!!
Inawezekana wameshamwambia kwenye vikao vya SIRI.Mama atamuomba CDF ampe majina ya hao watu, bila shaka kama jeshi, hawawezi kusema hivi hivi, otherwise mkuu wa majeshi atapoteza credibility yake.
and, kwa nini ayaseme hadharani wakati kuna vikao vya Baraza la Taifa la Ulinzi na Usalama, na yeye kama Mkuu wa Majeshi ni mjumbe!? Pia Mkuu wa Majeshi kila siku kabla hajalala lazima ampe briefing Rais, na asubuhi lazima ampe hali ya usalama wa nchi, apart, ana direct access na Rais muda wowote ule!!!
Hata akipewa miaka mingapi, hawezi na hadi CDF kaeleza hadharani basi hujue ashaurikiUmeshasema CDF kaongea mambo mazito mno, halafu ulitegemea ayajibu tu kiurahisi?
Lazima ajipe muda, na ningemshangaa sana kama angelikurupuka kujibu papo kwa papo.