Pre GE2025 Mkuu wa Majeshi: Baadhi ya Wakimbizi wamepewa teuzi Serikalini katika nafasi zenye maamuzi

Pre GE2025 Mkuu wa Majeshi: Baadhi ya Wakimbizi wamepewa teuzi Serikalini katika nafasi zenye maamuzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CDF ameongea mambo mazito mno kuhusu wakimbizi na walowezi wengine kujipenyeza serikalini kwenye nafasi nyeti, ni maajabu amiri jeshi mkuu kwenye hotuba yake ameonesha kuwa yeye anawaza uchaguzi tu na namna ya kulitumia jeshi kuvuka.

Inawezekana wamemwambia sana huko sirini lakini hana muda na hilo, wameamua kuweka mambo hadharani wananchi tujue, wakijua labda SSH atapata msukumo wa kulivali njuga.
Sorry mkuu, naomba kuuliza:

Hivi ni "kujipenyeza" au "kupenyezwa"??

Wanawezaje kujipatia hizo nafasi nyeti bila kupatiwa?
 
kwani hakuna TISS hadi inakuwa hivyo? wanashindwa nini kukamata mmoja mmoja kimya kimya na kumhoji na kumrudisha nchini kwake kimyakimya?
Sijui TISS wanafanya vipi, lakini hata wakifanya itakuwa siri yao.

Awamu ya nne JWTZ waliwahi kusafisha mara mbili, walikutwa watu kibao kwenye nafasi nyeti tu.

Hili ni tatizo linalojirudiarudia.
 
Mama atamuomba CDF ampe majina ya hao watu, bila shaka kama jeshi, hawawezi kusema hivi hivi, otherwise mkuu wa majeshi atapoteza credibility yake.

and, kwa nini ayaseme hadharani wakati kuna vikao vya Baraza la Taifa la Ulinzi na Usalama, na yeye kama Mkuu wa Majeshi ni mjumbe!? Pia Mkuu wa Majeshi kila siku kabla hajalala lazima ampe briefing Rais, na asubuhi lazima ampe hali ya usalama wa nchi, apart, ana direct access na Rais muda wowote ule!!!
 
Ukiona hivyo ujue mama hashauriki sirini!! Wameamua kumchongea kwa wenye nchi yao
 
Sasa,nadhani haya maneno yataleta taharuki kwa wakimbizi.

Labda Mhe. Januari Makamba naye pia atazungumzia hili swala,kwa sababu ni jambo linashangiliwa na baadhi ya watu,lakini haielekei kama linaendana na Foreign Policy ya Tanzania ya miaka sitini

iliyopita,traditional Foreign Policy yetu ya kusema Afrika ni moja.

Economic migrants wasiendekezwe. Echoes of the xenophobia in South Africa.

UNHCR ,wao wamesema nini? Wamesema wanasumbuliwa na mzigo wa wakimbizi? Wamesema wanasumbuliwa na economic migrants? Wamesema wanasumbuliwa na wakimbizi 138,149 waliofika mwaka jana?

Siyo tu wakimbizi wanahatarisha usalama wa nchi,lakini pia madawa ya kulevya yanahatarisha usalama wa nchi. Pia,matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii inahatarisha usalama wa nchi.

Bila kusahau vijana wanarubuniwa kwenda kufanya ugaidi nchi za nje ambapo labda watajikuta Mtanzania anapigana na Mtanzania.

Lakini hili swala la ajira za wakimbizi.

Yaani,wakimbizi wameaj8tiwa serikalini. Sasa,unatala kuwaachisha kazi,au inawaita majasusi au vipi?

Nilikuwa juzi natazama video YouTube kuhusu Wameru. Kumbe Wameru wanaozungumziwa ni Wameru wa Kenya. Haya mambo ya uraia lazima yawe handled carefully.

Mtoto wa rais rais. Mtoto wa waziri anaitwa Prince. Hawa ni Prince by birth.

Waziri anaitwa Prince wa nchi. Kwa hiyo tunatumaini watu wowote walioitumikia nchi hii wataheshimiwa.
 
..kwa nini ayaseme hadharani wakati kuna vikao vya Baraza la Taifa la Ulinzi na Usalama, na yeye kama Mkuu wa Majeshi ni mjumbe!? Pia Mkuu wa Majeshi kila siku kabla hajalala lazima ampe briefing Rais, na asubuhi lazima ampe hali ya usalama wa nchi, apart, ana direct access na Rais muda wowote ule!!!
Ukiona hivyo maanaake kuna mambo hayapo sawa
 
Mama atamuomba CDF ampe majina ya hao watu, bila shaka kama jeshi, hawawezi kusema hivi hivi, otherwise mkuu wa majeshi atapoteza credibility yake.

and, kwa nini ayaseme hadharani wakati kuna vikao vya Baraza la Taifa la Ulinzi na Usalama, na yeye kama Mkuu wa Majeshi ni mjumbe!? Pia Mkuu wa Majeshi kila siku kabla hajalala lazima ampe briefing Rais, na asubuhi lazima ampe hali ya usalama wa nchi, apart, ana direct access na Rais muda wowote ule!!!
Inawezekana wameshamwambia kwenye vikao vya SIRI.

Inawezekana pia kuwa hii ni mbinu ya kijasusi ya kuwa “flash” hao mapandikizi huko waliko ili wa panic na kukusea step kisha wadakwe kama kuku.
 
Umeshasema CDF kaongea mambo mazito mno, halafu ulitegemea ayajibu tu kiurahisi?

Lazima ajipe muda, na ningemshangaa sana kama angelikurupuka kujibu papo kwa papo.
Hata akipewa miaka mingapi, hawezi na hadi CDF kaeleza hadharani basi hujue ashauriki
 
Back
Top Bottom