Mkuu wa Mkoa, jukumu la kuwaondoa Wamachinga ni lako. Usilikwepe

Ndiyo, huyo wa Njombe kaburi lake vinaweza kuingia vitanda kumi vya 6×6, kaburi la ghorofa la bilioni si mchezo, Njombe wameomba liwe kivutio cha utalii wa ndani.

Sorry kumbe mimi ndio sikukuelewa kama umenielewa
Uko sawa
Huyo sijawahi kumsikia ndio maana nimejichanganya
Duu gorofa na kweli liwe kivutio
 
ni UONGO mkubwa
ukaagize mzigo km wa TV halafu uwape chinga wauze bila risiti?
ni Nchi ya ajabu yenye majiji machafu km Tanzania utadhani Bangladesh
tunashindwa na viJiji kama Kigali, Maputo na Harare
hii tabia ililetwa na Mwendazake akitarajia kura za maisha toka chinga
wakati wa Ben alipoingia Waziri Mkuu Fredrick T Sumaye alisafisha vibanda vyote mijini
 
Wewe unakataa kitu ambacho kinafanyika! Kuna bidhaa zinazouzwa na mchinga zinathamani kuliko wenye maduka na bidhaa hizo si zao wauzaji, mbona ni kawaida tu.
 

Sawa ni 'uongo' kwani tarehe 13/9 si kesho kutwa j3? Kwa nini kuandikia na mate wakati wino uko.
 
Jumatatu 13/09/2021 inakuja na Jumatatu 13/09/2021 itapita kwa amani bila mmachinga kuguswa.
 
Halafu Wamachinga sio wapiga kura..Wale wanajua tu ushabiki kipindi cha kampeni ila kwenye kura unaweza ona asilimia 10 tu ndo wanapiga kura
 
Waliovunjiwa nyumba Kimara waliandaliwa sehemu ya kwenda?
 
Halafu Wamachinga sio wapiga kura..Wale wanajua tu ushabiki kipindi cha kampeni ila kwenye kura unaweza ona asilimia 10 tu ndo wanapiga kura
Hata kama wanapiga kura lakini misingi ya sheria ifuatwe haya ndio yanayotokea kwa wenzetu mashoga wana vyama vyao wamekuwa wananguvu na kuleta ushawishi katika sheria zao na ukifanya mchezo siku nao watakuja watasema tupeni haki zetu au hatuwachagui. Kuna mambo ya simamiwe hata kama kukosa kura lakini tusimame kuyalinda moja usafi wa miji yetu.
 
Leo Jumapili 12/09/2021 kesho Jumatatu 13/09/2021 na keshokutwa Jumanne 14/09/2021 na kazi iendelee. Tafsiri na maana ya kazi iendelee kwa kiingereza si nzuri sana hasa inapomaliziwa na neno As Usual (kama kawaida).
 
KWANINI WAONDOLEWE WAKATI NI WANYONGE?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Nafikiri hivi..kama kuna mtu anajitaftia riziki sehemu na habughuzi riziki zako achana naye!
Kama hujapita maeneo ya Dar es Salaam yalivyo kwa Sasa huwezi elewa kelele za machinga kuondolewa.Mji umekuwa wa ajabu sana,kila Kona Kuna majiko ya kupikia,kila Kona ni soko,ukifika manzese watu wameweke bidhaa kwenye nafasi zinatotenganisha mwendokasi na njia ya magari ya kawaida.Najuliza ukifika Njombe machinga na wafanyabiashara wadogo wameondoka barabarani na kukaa karibu na masoko nini kinashindikana Dar mbaya zaidi watu wa Dar hawajafundishwa kutunza mazingira,mitaro ya maji kwao ni mashomo ya takataka.Ovyo kabisa
 
Leo Jumapili 12/09/2021 kesho Jumatatu 13/09/2021 na keshokutwa Jumanne 14/09/2021 na kazi iendelee. Tafsiri na maana ya kazi iendelee kwa kiingereza si nzuri sana hasa inapomaliziwa na neno As Usual (kama kawaida).
"As Usual" sio tafsiri sahihi ya "Kazi iendelee"
 
"As Usual" sio tafsiri sahihi ya "Kazi iendelee"
Tatizo lako ni tafsiri ya neno kwa neno, labda ningekuwekea sentenso ndiyo kidogo ungenielewa nayo huenda ungebisha kwa kuwa unatafsiri neno kwa neno.
 
Siku hazigandi tusubiri Jumatatu tarehe 13/09/2021 itakapofika na kupita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…