Mkuu wa Mkoa Simiyu atenguliwa, Kenan Kihongosi achukua nafasi hiyo

Ulikuwa mjivuni sana mzee baba ,last time tu milioni twangu uligoma kututoa kisa dada Stella hapo masijala yako ,ukanitolea shombo mbele ya vimada vyako ofisini ,kwakuwa nakujua vyema classmate nikameza fundo la mate ,nisiharibu taswira yangu ya kesho ,Sasa njoo ground tuhusstle wote mwanangu , walisema Wana wa malkia Karma is bitch ,usiniulize maana yake maana unajua ni vipi kingereza nakiogopa 😃

Alhamdulilah
 
Mkuu weka picha yake..
 
Alimdharirisha mkuuwa shule fulani iko simiyu,ni mtu wa kumzaa lakini kamtukana kwa maneno ya shombo,mpuuzi sana bwana yule,akafie mbali na ufirauni wake
 
Hivi vetting hufanyika kweli nchi hii? Mbona habari hizi zimekuwa nyingi miaka hii? Je ni masharti ya waganga au watu wa nyota?

 
Tutubu sana Kwa ajili ya taifa hili..
Uovu,Uasi na machukizo mbele Za Muumba husababisha mapigo Kwa nchi na taifa..

Haya ya Sodoma na Gomola si ya kuchekea wala kushabikia..Tutaangamia na kuangamiza vizazi..

Najiuliza mengi

Amewafanyia wangapi? Kike/kiume
Wangapi Wapo kimya?
Ni Tatizo la AFYA ya kiroho? Kimwili? AFYA ya akili?
Tuna viongozi wangapi wa jinsi hii?

Tunapataje baraka na neema Za Muumba?
 
Hongera Sana Mama Samia kwa Kusimamia Haki!
 
Ni Kenan huyu huyu alipokuwa kuwa DC Arusha mkewe alifadhiliwa birthday party na account ya huyo mkewe kunoneshwa toka mapato ya halmashauri ya jiji la Arusha?
Sasa amepata cheki ilyosainiwa bila kujazwa kiasi (blank cheque)
 
Kumbe ni Doctor!!
Ameidhalilisha taaluma yake
Amekidhalilisha chama chake
Ameidhalilisha jamii yake
Ameidhalilisha familia yake

Je anaizungumziaje vita ya ngono kama ile anayopambana nayo Chalamila na Dc wake wa Ubungo au mapenzi ya jinsia moja? alishawahi kusikika akikemea jambo hilo?

My take:
Kuwe na mstari kwenye kiapo cha chama chetu unaosema sitatenda kitendo cha aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…