Mkuu wa Mkoa Simiyu atenguliwa, Kenan Kihongosi achukua nafasi hiyo

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Christopher Magala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mkoani Mtwara akichukua nafasi ya Dkt. Stephen Isaac Mwakajumilo ambaye uteuzi wake umetenguliwa. Rais Samia amemteua pia Elias Daniel
Mwandobo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Momba, kabla ya uteuzi, Mwandobo alikuwa Afisa Mwandamizi, Ofisi ya Rais - Ikulu na pia Rais Samia amemteua George Hillary Herbert kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani, kabla ya uteuzi, Herbert alikuwa Naibu Msajili wa Mahakama ya Rufani.
Uapisho wa Mkuu wa Mkoa na Msajili wa
Mahakama ya Rufani utafanyika kwa tarehe itakayopangwa baadaye.


Sources MillardAyoUPDATES
 

Attachments

  • IMG_3589.jpeg
    405.7 KB · Views: 2
Alimdharirisha mkuuwa shule fulani iko simiyu,ni mtu wa kumzaa lakini kamtukana kwa maneno ya shombo,mpuuzi sana bwana yule,akafie mbali na ufirauni wake
Ndiyo mambo yake huyo jamaa ,nilikuwa assigned kazi Fulani mkoani kwake ,nikaifanya vizuri
Alimdharirisha mkuuwa shule fulani iko simiyu,ni mtu wa kumzaa lakini kamtukana kwa maneno ya shombo,mpuuzi sana bwana yule,akafie mbali na ufirauni wake
Ni mtu wa majivuno na kisirani hasa akijua Kuna wanawake around ,alinitolea maneno ya shombo sana ,Sasa acha yamkute ,oyaa Yahya nasemaje kma unasoma hapa ushanijua bila shaka ,nasema ukome Mara Mia na usikumbukwe tena nyau wewe
 
Removed Regional Commissioner is the victim of the planned and targeted Sexpionage operation and sexual entrapment scandal.
 
Wala hata sishituki.

Unatoa kibaka unaingiza jambazi.

Gekul yupo gereza gani?

Huyu Kenani haya mamlaka ya kucharaza watu bakora aliyatoa wapi?

Yaani nchi bado ina majambazi yanayovunja sheria kwa kufanya " corporal punishment" ila yanapewa tu nafasi kwa kuhamishwa..

Mbona mafisadi wanaoiba hawacharazwi bakora hadharani.?

 
Loooooh! Picha hii jamani!
 
Format iliyotolewa na katibu mkuu kiongozi kwenye uteuzi /utenguzi wa Zuhura Yunus ndiyo standard zuri sana.
 
wote ni hao hao, maharamia, kama si mzinzi ana lile. CCM wote ni hao hao ila makosa yanatofautiana
 
Hayupo wa kumpa madaraka filauni huyo ndo kwaheri mwalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…