Mkuu wa Mkoa Simiyu atenguliwa, Kenan Kihongosi achukua nafasi hiyo

Wote wenye tuhuma za usagaji na ufiraji waondolewe, wengi mno
 
Atarudi tu...---ni nchi inayowakombatia wezi,wazinzi nk

Ova

Mkuu kwa kesi ya ubakaji halafu hukumu anasoma jaji mwanamke hauta amini matokeo.

Anaweza kuagiza chopping board watengeneze sausage ya naniii hiyooπŸ˜‚πŸ˜‚

Huyu kurudi labda baadae sana. Akishaondoka huyu... Labda kama ni kipindi walimtengenezea akajaa.
 
Duh we nae kwenu wanakutegemea kwa hizi hiz akili πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wamemsingizia tu. Mbona yule naibu waziri aliyepata ajali iliyoua mwanachuo wa UDOM hakutenguliwa ?!
 
Ni Kenan huyu huyu alipokuwa kuwa DC Arusha mkewe alifadhiliwa birthday party na account ya huyo mkewe kunoneshwa toka mapato ya halmashauri ya jiji la Arusha?
Sasa amepata cheki ilyosainiwa bila kujazwa kiasi (blank cheque)
Andika vizuri.... πŸ™‚πŸ™‚
 
Kuna haja gani kuwatambua viongozi pasipo kuwawajibisha waende gerezani. Ccm acheni kulea uovu ipo siku vilio vya waathirika nchi hii vitawarudia.
Hatua ya kwanza ni kumvua madaraka, hatua ya pili ndo sheria zichukue mkondo wake. Pita na hapa kuona kama ni faida ktk kizazi chetu
 
Ogopa Sana wadada WA chuo ambao ni machakaramu. Kuna Jamaa yangu alishawahi jaziwa nzi kwamba anataka kumbaka MTU kumbe wakishindwana bei. Demu alimpamdishia bei baada ya kufika geto, so wachunguze vzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…