Mkuu wa Mkoa wa Arusha (Batilda Buriani) na ukabila; Ukemewe na kila mmoja wetu!


Ndio maana toka nimesoma hili bandiko lake sina amani moyoni kabisa. Nimeirudia hii thread mara ningi kwa mategemeo kuwa atakuwa amewaomba radhi wasomaji na wapenzi wake kuwa hii haijaandikwa na yeye bali kuna mtu aliehack account yake au alisahau computer yake bila kulog off mtu mwenye nia ovu labda ofisini au popote akaandika huu ujinga lakini sijaona. Mara zote nilikuwa namkubali na kumsifia kwa michango yake mingi. Nilichojifunza kama kaiandika yeye ni kuwa mtu ukisomwa sana na kusifiwa sana sio mbali watu watagundua na madhaifu makubwa kukuhusu. Hivi yeye Pasco alithibitishiwa na nani kuwa yeye ni Msukuma wa Mwanza? Mbona wasukuma hawana tabia za ubaguzi na ni wakarimu sana kiasi kwamba yupo radhi kushinda/kulala njaa amkirimu mgeni? Hivi siku wana Mwanza wanaomfahamu toka kuzaliwa kwake wakimthibitiahia yeye sio Msukuma bali ni Mrundi kutokana na wazazi wake kuingia na kulowea Mwanza atatambia nini? Kwani wa hivyo si wapo wengi Mwanza? Ikiwa amechukua rushwa ya chama chochote cha siasa kumfanyia kampeni mgombea yeyote sio mbali atarudi kuyatamka jukwaa hili hili.
 
Mr Pasco, msaada kwenye tuta.

Hivi kuna mbunge yeyote mkoa wa Kilimanjaro asiye mzawa wa Kilimanjaro?sio majimbo tu mpaka viti maalum?

Kama hawapo hoja ya changu-changu na chako-changu inaleta maana.

Je hao wachaga tunalazimishwa kuwachagua?

Au wanatumia mitutu kupata ubenge wao?
 
Hata wale machangudoa, mashoga na majambazi walizaliwa sawasawa na wasomi, wafanya biashara wajasiriamali na watu waliochagua staha ktk maisha yao tofauti linakuja jinsi gani umeamua kujiingizia kipato na ni jinsi gani umeamua kuwa ktk maisha yako baada ya kujitambua, huyu bwana anajua anachofanya si sawa ila kaamua hivyo kulinda kibarua alichozawadiwa na anataka aliemzawadia am comment kwa ajae kuwa ni mtu afaae na makini sana, hapa kauvua utu na heshima yake, ya familia yake na ya USUKUMA wake, mtu wa hovyo ambae hafai hata kujadiliwa amekula maharage ya wapi.
 
Mkuu umesahau na kuangalia wizara na na mashirika ya umma tuanze na TRA.
 
Last edited by a moderator:
mbona cdm ndio zenu hizo mkishindwa kwenye ukabila mnaanza ya udini kwani atujui

Wewe na huyo msiojua mnahitaji maombi. Kwasababu ni wazembe wa kufikiri na ndiyo mnaotugharimu watanzania tunao saka mabadiliko. Kwa bahati mbaya baba wa taifa alifikiri tatizo lingekuja kuwa ukabila ila hapana, tatizo limekua wananchi wenye busara, wapenda haki na maarifa watasapoti chadema na wananchi ma "zilo bleni" watakomaa na ccm na act-masnichi ili kurudisha taifa nyuma kisa watapewa 10000 bila kujua mchele wa 350 sasa ni 1800kilo na dola ya 600 sasa ni 2050. Kwanini msikae kimya tunaojua tunafanya nini tupige kura nyie mbaki nyumbani mkitupikia tukirudi from saving our country tukute chakula. Chadema ina waislamu wakutosha, mbowe slaa mnyika lisu ni makabila tofauti wote hao, ukawa kwenyewe mwendo ni hivyo hivyo ila kama ukilaumu kuwa wamejaza vichwa na makamanda wa ukweli utakua hukosei. Acha kuropoka banaaaaa. Taratiiiiiiibu mtatoka tu ikulu babu. Jioni njema
 
Na wachaga ndiyo wenye ma hotel bar na vitega uchumi mbali mbali vinavyochangamsha kila mkoa.Hujiamini ndiyo maana unaogopa kwenda Vunjo kugombea ubunge.Kutojiamini kwa kila kitu ndiyo mwanzo wa kutawaliwa kwako mpaka nyumbani kwako.Mwinyi kawa mbunge mkuranga na sasa zanzibar na anaishi dar
 
Mkuu umesahau na kuangalia wizara na na mashirika ya umma tuanze na TRA.
Mkuu sana Ritz je unadhani umenielewa sawasawa?...soma zaidi na angalia zaidi ya herufi na mpangilio wa maneno katika andiko langu.
 
Last edited by a moderator:

hivi kwel wewe mbumbu mbu unaanzia wap kusema et kuiweka cdm n kusave our country tahira mkubwa kwel yaan tukuache upeleke hicho kibabu chako kimeshindwa kusimamia chama ndo kiende magogoni!!!? cdm hakuna demokrasia xo malizaneni wenyewe uko uko uchagan na kwa wasiojielewa; mnaturudisha miaka ya themanin zidumu fikra za mwalimu, slaa anashindanishwa na kivuli!!!
 
Huyu RC anaitwa TIBENDA!

Wahaya kwa ukabili hawajambo. Atakayebisha abishe tu kwa kuwa ana asili ya UBISHI.

yaaan ww ndo hamnazo unadhihirisha n kwa kias gan unavoongea usiyoyajua, na watu km ww hawapaswi kuwa katika majukwaa km haya ya GT uwezo wenu wa kufukir mdogo sana... nani kakwambia RC Ntibenda n muhaya? au unataka kujitafutia umaarufu kwa wasiojua kwamba wewe sasa hata data unazo!!!? mpuuz mkubwa
 

Duuuh! Mmmh nakumbuka kama ni muha kutoka kibondo sio?!
 
Hakika leo nimeona ambayo sikutegemea kuyaona! Pasco hawezi kushabikia suala kama hili, kumbe hakuna aliyemkamilifu.
 
Yatosha kukuambia mawazo yako ni ya kibaguzi, kinyume cha katiba na hatari! Katiba inaruhusu mtu kukaa popote tanzania na kwa hiyo anapokaa anakuwa na haki zote
 
Mkuu bora ungekaa kimya hivi unawajua wabunge wachaga ambao wapo mikoa mingine wapo wangapi? Kuna wabunge mpaka wa viti maalum wa Chadema wanatoka mikoa mingine lakini wachaga.

Viti Maalum ni nafasi kwa wanachama wa chama cha siasa na kila chama kina taratibu zake za kuwapata...sasa kama ninyi hamtaki kugombea nafasi hizo wao wafanyeje? Mambo ya kuangalia makabila yapo kwa wasio kuwa na hoja. Changamkieni fursa hizo sio kulalama kama Paschal Mayala, ukabila na udini ni hoja za watu wasio na mashiko kwenye karne hiii
 
mkuu Pasco hauko sahihi, mtu anaweza kuwa na asili ya mkoa mwingine akagombea ubunge sehemu nyingine na mara nyingi ni mjiji mikubwa ambako ndio kuna uingiliano wa makabila mengi. usisahau kuwa uingiliano huu ndio sababu ya ukuaji wa miji husika. mfano mnyika, mahanga,kibasa, lema, sugu, nk. umejishushia hadhi kuunga mkono huu ubaguzi. kwani huyo RC aliyesema hivyo yeye ni mmasai au mmeru? au wakuu wa mikoa tu ndio wanaruhusiwa kuongoza mikoa ya watu???????
 
Wachaga, Wairaqw, Wapare wanatosha kumpa Lema Ubunge....... Kura za ziada kwa mahasimu wa Wamasai..namaanisha Wameru.
 
Ng'wanangwa Pasco....Arusha ni jiji lenye makabila mbalimbali na hilo hata RC unaye mtetea anajuwa fika hilo mbali na hilo wenyeji wa arusha yaani wamasai, waarusha kwakuwa wengi ni wafugaji walishauza mashamba yao na kwenda kuishi pembezoni ambako ni kupana kwa shughuli zao za ufugaji. Wamasai wengi wako kata ya Terati na Orasiti, Kata za mjini ni mchanganyiko kwa kwenda mbele na hata kama wewe una ubavu wa kugombea njoo ujaribu bahati yako...ni upuuzi kutuaminisha kuwa Mh.Lema alishinda sababu ya wachaga, kwani Arusha yote ni ya wachaga? hiyo kata ina wapiga kura wangapi mpaka tuaminishwe kuwa ni tegemeo kwa mgombea yeyote wa ubunge? Karibu Moshono Masai camp tupate Nyama choma achana na wanasiasa mufilisi.
 



Kiukweli Pascal huwa ananisikitisha kwa posts zake za kikabila na ukanda. Sijui anajaribu kuleta ujumbe gani kwa Taifa?! Wacha tuangalie.
Karibuni na pande hii.
P
 
Hatuhitaji kujimwambafy kikabila. No! Angalau umetuelewa.
Nimewaelewa sana tuu na natumaini pia mmenielewa
Mimi sio mkabila sio mbaguzi bali ni mkweli too much!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…