mkwawa masawe
JF-Expert Member
- Nov 19, 2018
- 225
- 346
Huyu Mama bwana anatulostisha sana, akiachana na Kikwete pamoja na wale mawaziri useless waliotemwa na Jiwe angetupeleka mbali sana.Mkuu wa nchi amabae ndio ndio custodian wa mali za taifa la watanzania kudai kuwa hawezi kufokea mtumishi wa umma ni kushangaza umma wa watanzania. Kwamba watumishi wa umma wakiharibu atawabembeleza?
Nimekaa na wazee wengi waliofanya kazi na hayati Julius Nyerere wanasema wazi kuwa Mwalimu alikuwa mkali sana. Ilitokea akikuita kwake Msasani au Ikulu ilikuwa lazima upate wasiwasi na woga mkuu. Wengine aliwaita kuwapongeza lakini hawakuamini walichoitiwa wapo pia aliowafokea hadaharani au hata kifichoni.
Kwamba mkuu wa nchi unafanya kazi kwa kuonea aibu wateule wako? Kwamba utakuwa unawabembeleza?
Mbona hii sio sawa? Mkuu wa kaya lazima uwe mkali ili nidhamu ipatikane kuanzia juu mpaka chini.
Hatusemi ufokee watu kama watoto wako. Bali uwe na maamuzi na maelekezo yenye kuonyesha kuwa kuna kiongozi mwenye mamlaka aisiyetaka mzaha na anataka watu wafanye kazi.
Mfano, tulitegemea umkaripie January Makamba maana mradi wa JNHP unaweweseka kama vile hauna manufaa kwa wanaCcM wenzake.
Sasa wewe unataka kuuhamishiwa kwenye utashi wako?Unataka mjadala uwe ndani ya utashi wako boss?
Mkuu wa nchi amabae ndio ndio custodian wa mali za taifa la watanzania kudai kuwa hawezi kufokea mtumishi wa umma ni kushangaza umma wa watanzania. Kwamba watumishi wa umma wakiharibu atawabembeleza?
Nimekaa na wazee wengi waliofanya kazi na hayati Julius Nyerere wanasema wazi kuwa Mwalimu alikuwa mkali sana. Ilitokea akikuita kwake Msasani au Ikulu ilikuwa lazima upate wasiwasi na woga mkuu. Wengine aliwaita kuwapongeza lakini hawakuamini walichoitiwa wapo pia aliowafokea hadaharani au hata kifichoni.
Kwamba mkuu wa nchi unafanya kazi kwa kuonea aibu wateule wako? Kwamba utakuwa unawabembeleza?
Mbona hii sio sawa? Mkuu wa kaya lazima uwe mkali ili nidhamu ipatikane kuanzia juu mpaka chini.
Hatusemi ufokee watu kama watoto wako. Bali uwe na maamuzi na maelekezo yenye kuonyesha kuwa kuna kiongozi mwenye mamlaka aisiyetaka mzaha na anataka watu wafanye kazi.
Mfano, tulitegemea umkaripie January Makamba maana mradi wa JNHP unaweweseka kama vile hauna manufaa kwa wanaCcM wenzake.
Achana na hawa watu wamezoea kuchunga ng'ombe, wanafikiri na binadamu anachapwa tu mijeledi kama ngombe,
Ndo maana nyumba nyeupe hawatakaa wapate bahati tena ya kuingia!
hayo yoote yalikuwepo wakati wa huyo unayemtajaMsameheni tu huyu ndugu zanguni.
Hajui na wala hajawajua WAHUNI wapoje. WAHUNI wameshamteka tayari. Nchi imerudi kwa WAHUNI.
Tukumbuke:-
*Angekuwepo JPM, umeme usingekuwa unakatika katika kama ilivyo sasa.
*Angekuwepo JPM, mbolea na bidhaa zingine zisingekuwa zimepanda bei kwa kiasi hiki cha 120%.
*Angekuwepo JPM, Ajali nyingi zinazotokea zisingekuwepo.
Kilichomsaidia JPM kudhibiti upumbavu huu ni ukali wake.
Maana ilikuwa akiongea tu, hadi sisimizi wanasikia sauti yake.
Nashangaa kuona kiongozi anasema tena hadharani eti hataweza kumkaripia mtu aliyekosea. Tafsiri yake ni kwamba, Dereva ameachia usukani, kwa hiyo kila abiria apambane na hali yake ili kujinusuru.
sure mkuu sisi tunajua raid wetu amefariki 17/3Rais alikufa mwaka jana.
Kutokana na yaliyotokea 2019 na 2020 hakuna asiye na guilty conscience. Watu wanaoficha ukweli hawawezi kuwa huru mioyoni mwao na mbele za Mungu. Mengine yote ni matokeo!Mkuu wa nchi amabae ndio ndio custodian wa mali za taifa la watanzania kudai kuwa hawezi kufokea mtumishi wa umma ni kushangaza umma wa watanzania.
Kwamba watumishi wa umma wakiharibu atawabembeleza?
Nimekaa na wazee wengi waliofanya kazi na hayati Julius Nyerere wanasema wazi kuwa Mwalimu alikuwa mkali sana.
Ilitokea akikuita kwake Msasani au Ikulu ilikuwa lazima upate wasiwasi na woga mkuu.
Wengine aliwaita kuwapongeza lakini hawakuamini walichoitiwa wapo pia aliowafokea hadaharani au hata kifichoni.
Kwamba mkuu wa nchi unafanya kazi kwa kuonea aibu wateule wako? Kwamba utakuwa unawabembeleza?
Mbona hii sio sawa? Mkuu wa kaya lazima uwe mkali ili nidhamu ipatikane kuanzia juu mpaka chini.
Hatusemi ufokee watu kama watoto wako. Bali uwe na maamuzi na maelekezo yenye kuonyesha kuwa kuna kiongozi mwenye mamlaka aisiyetaka mzaha na anataka watu wafanye kazi.
Mfano, tulitegemea umkaripie January Makamba maana mradi wa JNHP unaweweseka kama vile hauna manufaa kwa wanaCcM wenzake.
Huu ndio ujinga wetu watanzania, nyinyi ni wauwaji Kama wauwaji wengine tu,Yani unashindwa kuwatibia ndugu zako kisa raisi hakutishii kukufukuza kazi?huu ni ujinga uliopitilizaMkuu kwenye hii hospital ninayofanyia kazi siku hizi tunaingia ofisi 07:30 then tunakuwa na vikao vya Morning Report mpaka 09:00 hadi 09:30.
Hapo mtaenda kuhudumia wagonjwa hadi kwenye 10:30 halafu watu wanaenda canteen kunywa chai. Chai inanyweka huku stori zinapigwa hata mpaka 12:00 hivi au zaidi.
Mkirudi mnafanya kazi saa moja au moja na nusu mnarudi canteen kupata lunch ndio mpaka saa 15:30 watu wanarudi ku-sign out. Siku imeisha.
Hiyo ndio nidhamu ya moyoni ya hawa Watanzania hapa nilipo. Enzi za Magufuli tulinyooshwa na kazi zilifanyika kwa weledi knowing ukizingua imekula kwako.
RIP Magufuli.
Uelewa wako ndio tatizo. Nani kasema afoke?You are too local and too mannual.
Siku hizi inaongoza akili, teknolojia na uchumi imara sio kufoka foka.
Only fool understand but intelligent people knows JPM wa wright.You are too local and too mannual.
Siku hizi inaongoza akili, teknolojia na uchumi imara sio kufoka foka.
Ukipewa za uso tulia usilete jazbaUnataka mjadala uwe ndani ya utashi wako boss?
Nimetolea mfano tu, sijasema aigwe. Lakini kwa taifa lolote mkuu wa nchi lazima awe mkali na kuogopwa ili asimamie taifa lake vizuriKwanini kwenye kila kitu aigwe Nyerere?
Watu milioni 60 tunatawaliwa na kuongozwa kwa fikra za mtu mmoja tuu, kwani sisi North Korea?
Nyerere kweli aliwaloga Watanzania na ndiyo maana tunakwama kwenye mambo mengi sana.
Yaani unadiriki kutoa mfano wa Trump...pua,puaa,puaaaaaaMarekani na Ulaya, ambapo tunawaiga kwa demokrasia, hawabembelezani.
Trump alikuwa anafukuza watu karibu kila siku.
Hakuna kitu kinachoitwa nidhamu ya moyoni!
Tatizo unadandia mada ambazo huna hata uwezo wa kuzielewa.kwani sasa hivi hamuwi kwenye matatizo? siku yakikukuta utashukiwa individually.
Hata kipindi cha Magu walikuwepo nunda kama wewe, ndio maana leo tunawaona Makonda na Sabaya wakitiwa akili.
Wangekuwa wameisha watu wa hovyo basi jiwe asingekuwa anafukuza/simamisha watu kila leo.
Concern ya Rais ni smart sana,tusimamie taratibu kama wasomi na sio nguruwe mpaka aswagwe.
Tujenge taasisi imara za kusimamiana,rais atapita lakini taasisi smart zitabaki. Mf mzuri Hayati amesepa halafu mnabaki na nini?hayati angekuwa smart angeimarisha taasisi na sio kukaza kichwa tu kama vile utakuwepo milele
Na this time itakuwa worse kuliko hata awamu ya nne.Nadhani mama amesahau kwamba wabongo ni watu wanaotaka kulazimishwa kufanya kazi.
Enzi zile bwana Lyatonga ilibidi awe anatoa viti vilivyokutwa wazi maofisini, wenyenavyo wako kitaa tu kula bata wakati wa kazi.
Wakati wa Kikwete nidhamu ya kazi ilishuka kupita kiasi kwa sababu rais hakuwa serious with anything, zaidi ya kuchekeana na kukwaa pipa kwenda kula bata majuu.
Wakati wa JPM nidhamu ya kazi ilirudi, japo ilikuwa ya woga, lakini watu walianza kufanya kazi na ufanisi wa utendaji ukaongezeka, na sisi makapuku tukawa tunahudumiwa humo maofisini.
Sasa Samia anahubiri nidhmu ya moyoni, mi naona tunarudi kwenye enzi za awamu ya 4!
Kiongozi Ukiwa mwadilifu,mpen da haki,muwazi, unauependa matokeo mazuri.na makubwa, ...honest,Integrity,principled(Kingereza kwa msisitizo) ...watu watakuogopa by Default...!Mkuu wa nchi ambae ndio ndio custodian wa mali za taifa la watanzania kudai kuwa hawezi kufokea mtumishi wa umma ni kushangaza umma wa watanzania.