Mkuu wa nchi lazima awe mkali na aogopwe. Asipoogopwa kila kitu kitakwenda mrama. Hata hayati Julius Nyerere aliogopwa na alikuwa mkali

Huu ndio ujinga wetu watanzania, nyinyi ni wauwaji Kama wauwaji wengine tu,Yani unashindwa kuwatibia ndugu zako kisa raisi hakutishii kukufukuza kazi?huu ni ujinga uliopitiliza
Siyo hospital yetu tu, hali ipo hivyo kote.

Hakuna nidhamu ya moyoni na kwa asili Waafrika hatupendi kazi, tunaona ni utumwa.

That's why tunahitaji kiongozi imara kama Magufuli anayeweza kusimamia vizuri.

Na hiyo ndio nidhamu yetu ya moyoni.
 
Hakuna kitu kinachoitwa nidhamu ya moyoni.

Maana ya nidhamu ni kufuata taratibu au sheria husika bila kujali unataka au hutaki.

Nidhamu ni uoga wa kuvunja taratibu au sheria. Without consequences hakuna binadamu ambae angefuata taratibu zote.

Bila sheria kali zinazosimamiwa ipasavyo lazima kuvuna mabua.
 
Marekani na Ulaya, ambapo tunawaiga kwa demokrasia, hawabembelezani.

Trump alikuwa anafukuza watu karibu kila siku.

Hakuna kitu kinachoitwa nidhamu ya moyoni!
Sawa uwe mkali lkn uwe na akili na uwe mafia kwelikweli siompiga dili!

Siyo kuropoka tu bila kutumia akili
 
Hakunaga kitu kinaitwa nidhamu ya moyoni ni hakuna zunguka dunia nzima,wenzetu ni sheria ngumu za kazi/ ajira ndo zinazowafanya watu wafanye kazi za bidii ikiwemo pamoja na ukali wamabosi na ufatiliaji wa karibu, ukizingua unalimwa kichwa mapema na sio kubembelezana kwenye kazi. Huyu bi ambiliki sijui katokea wapi!!?
 
Yale mashirika ya umma yalipokufa, Nyerere alianza kuwa mpole etiii? Kuongoza nchi ni sayansi, sio kuropoka tu kama kichaa wa awamu Ile, kuteka watu, kupiga risasi, kutumia akina sabaya na makonda
 
...nidhamu sio uoga wa kufunja Sheria...Nidhamu ni moyo na utashi wa kufuata Sheria!
 
Yale mashirika ya umma yalipokufa, Nyerere alianza kuwa mpole etiii? Kuongoza nchi ni sayansi, sio kuropoka tu kama kichaa wa awamu Ile, kuteka watu, kupiga risasi, kutumia akina sabaya na makonda
Kaa kimya
 
aliyekua anasimamia nidhamu,aliitwa nyapara.dikteta
 
Kwa hiyo wewe na vilaza wenzako mnasubiria Rais aje kuwapingia majukumu na muda sahihi wa kufanya kazi?!
Pumbavu kabisa, ndio maana umaskini umeamua kukita kambi kwetu.
 
Hakuna Mtanzania anayependa kufanya kazi bila kusukumwa.

Ndio maana sasa hivi ubora wa huduma za umma umeshuka sana.

Tunapewa majibu ya hovyo na hatuna cha kuwafanya.
Wakaanga sumu utawajua tu. Malalamishi daily utafikiri wao ni watanzania zaidi ya wengine Nyie wafia legacy sonoma itawaua kabla ya 2025. Au nasema uwongo ndugu zangu?! Hakuna cha legacy; mberee kwa mberee!

Cc Nyakarungu. Kukaanga sumu haiwasaidii. Fanyeni kazi, ongezeni pato lenu lisheni familia zenu na jamaa zenu. Mzee Makamba kataamka wazi juzi kwamba sasa hivi kila moja wenu analamba asali.
 
Kinachotakiwa ni kujenga mifumo na taasisi imara, badala ya Rais kuja kuwasimamia manesi hospitalini ili mfanye kazi zenu vizuri inapaswa madaktari na manesi waajiriwe na Hospital husika au DMO kwa mikataba maalumu badala ya ajira za kudumu zinazotolewa na utumishi.
 
Kwa hiyo wewe na vilaza wenzako mnasubiria Rais aje kuwapingia majukumu na muda sahihi wa kufanya kazi?!
Pumbavu kabisa, ndio maana umaskini umeamua kukita kambi kwetu.
Wewe ndiye mpumbavu usiyejua kusoma "between the lines". Rudi shule pengine utaielewa vizuri hiyo comment.
 
Kwa hiyo wewe na vilaza wenzako mnasubiria Rais aje kuwapingia majukumu na muda sahihi wa kufanya kazi?!
Pumbavu kabisa, ndio maana umaskini umeamua kukita kambi kwetu.
Acha hasira we kibwengo. Mkuu wa nchi ndio msimamizi wa watumishi wote wa umma. Lazima onyesha mamlaka yake ya usimamizi.
 
Unaona taka taka unazoongea hapo? Yani madaktari na manesi waajiliwe na DMO kwa mkataba.. ila nyie walimu na kada nyingine mpate ajila za kudumu.. kwa akili matakataka kama hiyo hivi hata familia yako unaweza kuiongoza wewe?? Your brain is a useless piece of shit...
 
Mfumo imara wa kusimamia watu ni taasisi ya urais imara inayoonyesha kuwa rais anasimamia watumishi...
 
Kama mnataka Rais aje kufanya kazi za kusimamia manesi na madaktari hospitalini kazi za DMO na RMO ni zipi? Kazi za Halmashauri na idara ya afya ni zipi? Kazi za Katibu na waziri wa Afya ni zipi?
Msitufanye wote wapuuzi kubwatuka ujinga wenu,Huyo Sang'udi na wenzake ambao hawahudumii wagonjwa hadi Rais aje awasimamie wakapimwe mkojo
Acha hasira we kibwengo. Mkuu wa nchi ndio msimamizi wa watumishi wote wa umma. Lazima onyesha mamlaka yake ya usimamizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…