Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
Siyo hospital yetu tu, hali ipo hivyo kote.Huu ndio ujinga wetu watanzania, nyinyi ni wauwaji Kama wauwaji wengine tu,Yani unashindwa kuwatibia ndugu zako kisa raisi hakutishii kukufukuza kazi?huu ni ujinga uliopitiliza
Hakuna nidhamu ya moyoni na kwa asili Waafrika hatupendi kazi, tunaona ni utumwa.
That's why tunahitaji kiongozi imara kama Magufuli anayeweza kusimamia vizuri.
Na hiyo ndio nidhamu yetu ya moyoni.