Mkuu wa nchi yoyote anayeingilia majukumu ya Bunge kiasi cha kushawishi kiongozi wa Bunge ag'olewe, lazima ana nia ovu. Na haya ndio matokeo yake

Mkuu wa nchi yoyote anayeingilia majukumu ya Bunge kiasi cha kushawishi kiongozi wa Bunge ag'olewe, lazima ana nia ovu. Na haya ndio matokeo yake

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Ili taifa lolote listawi vyema lazima mihimili mitatu ya dola iwe huru. Lazima Bunge liweze kuisimamia serikali. Mahakama iwe huru kutafasiri sheria na kutoa haki.

Lakini ukiona mkuu wa nchi anashinikiza nyuma ya pazia kumg'oa spika anayesimamia majukumu yake kwa kuhoji fyongo za serikali kukopa hovyo. Tambua huyo mkuu wa nchi ana nia ovu juu ya taifa lake.

Matokeo yake ni haya tunayoyaona huko Loliondo na Bunge lipo kimya.

Tozo za ajabu ajabu zisizo na mashiko.

Safari za ajabu ajabu tu nje ya nchi.

Kula kwa urefu wa kamba yako ...ruksa.

image_search_1656283773078.jpg
 
Kapalilie magugu runway ya Chato international Airport na uondoe moulds kwenye arrival na departure lounge. Unalialia kila siku wakati wanaume ni wengi tu wanatafuta wachumba. Wewe ni jitu la aina gani?
 
Dhalimu ndio alijaza wabunge wa mchongo huko bungeni. Na yeye ndio muasisi wa bunge kibogoyo. Huyu wa sasa anafaidi matunda ya dhalimu kunajisi uchaguzi, na kulidumaza bunge.
Wewe una chuki zako tu. Hatukusikia akitengeneza njama kumuondoa spika kisa tu anahoji serikali.
 
Kelele zinapigwa sana kwa sababu hizi

1) Ni Mzanzibari
2) Ni Muislam
3) Ni Jinsia Yake
Ila anapokosea mwacheni akosolewe. Na uzuri alishasema mwenyewe kuwa yuko radhi kusikiliza wanaomkosoa hasa watakaofanya hivyo kwa heshima wakijua kuwa yeye ni mama.

Uzanzibari, uisilam na uanamke wake visiwe chaka la kujifichiamo ili hata anapokosea eti asikosolewe!
 
Asijifiche kwenye kichaka cha umama, Urais hauna mama
 
Ili taifa lolote listawi vyema lazima mihimili mitatu ya dola iwe huru. Lazima Bunge liweze kuisimamia serikali. Mahakama iwe huru kutafasiri sheria na kutoa haki.

Lakini ukiona mkuu wa nchi anashinikiza nyuma ya pazia kumg'oa spika anayesimamia
majukumu yake kwa kuhoji fyongo za serikali kukopa hovyo. Tambua huyo mkuu wa nchi ana nia ovu juu ya taifa lake.

Matokeo yake ni haya tunayoyaona huko Loliondo na Bunge lipo kimya.

Tozo za ajabu ajabu zisizo na mashiko.

Safari za ajabu ajabu tu nje ya nchi.

Kula kwa urefu wa kamba yako ...ruksa.

View attachment 2273818
Mtalia lia sana. Imeisha hiyo.
 
Ili taifa lolote listawi vyema lazima mihimili mitatu ya dola iwe huru. Lazima Bunge liweze kuisimamia serikali. Mahakama iwe huru kutafasiri sheria na kutoa haki.
Aisee nyie wanaccm wachumiatumbo naona mmechanganyikiwa. Tangu lini mmeanza kuamini Uhuru wa bunge na mahakama?
🤣🤣🤣imekula kwenu.

Rais Samia piga kazi Mama. Kaza zaidi Spana.
 
Back
Top Bottom