Mkuu wa nchi yoyote anayeingilia majukumu ya Bunge kiasi cha kushawishi kiongozi wa Bunge ag'olewe, lazima ana nia ovu. Na haya ndio matokeo yake

Ili taifa lolote listawi vyema lazima mihimili mitatu ya dola iwe huru. Lazima Bunge liweze kuisimamia serikali. Mahakama iwe huru kutafasiri sheria na kutoa haki.

Lakini ukiona mkuu wa nchi anashinikiza nyuma ya pazia kumg'oa spika anayesimamia majukumu yake kwa kuhoji fyongo za serikali kukopa hovyo. Tambua huyo mkuu wa nchi ana nia ovu juu ya taifa lake.

Matokeo yake ni haya tunayoyaona huko Loliondo na Bunge lipo kimya.

Tozo za ajabu ajabu zisizo na mashiko.

Safari za ajabu ajabu tu nje ya nchi.

Kula kwa urefu wa kamba yako ...ruksa.

Poles sana umechagua kuishi kwa kinyongo na roho mbaya na ni vitu vitakavyokuumiza mpaka siku yako ya mwisho kabisa hapa duniani.

JPM alivyolazimisha mpaka CAG akaondoka unadhani ilikuwa ni haki ile?.
 
Ili taifa lolote listawi vyema lazima mihimili mitatu ya dola iwe huru. Lazima Bunge liweze kuisimamia serikali. Mahakama iwe huru kutafasiri sheria na kutoa haki.

Lakini ukiona mkuu wa nchi anashinikiza nyuma ya pazia kumg'oa spika anayesimamia majukumu yake kwa kuhoji fyongo za serikali kukopa hovyo. Tambua huyo mkuu wa nchi ana nia ovu juu ya taifa lake.

Matokeo yake ni haya tunayoyaona huko Loliondo na Bunge lipo kimya.

Tozo za ajabu ajabu zisizo na mashiko.

Safari za ajabu ajabu tu nje ya nchi.

Kula kwa urefu wa kamba yako ...ruksa.

Wapambe ndio walichangia ndugai ajiuzulu, mama Samia alieleza masikitiko yake kutokana na kauli ambazo ndugai kasema

Sasa wale wapambe ndio wakaja na Spika aondoke
 
Gari lishaanza kuwasha endiketa 2025
 
Kila siku mnalia lia humu alafu unauliza kama kuna uhakika wa hilo?
Poleni sana. Mpaka 2030 mtakuwa mmekwisha wote, mmefika wapi na Umoja Party?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣
 
Wapambe ndio walichangia ndugai ajiuzulu, mama Samia alieleza masikitiko yake kutokana na kauli ambazo ndugai kasema

Sasa wale wapambe ndio wakaja na Spika aondoke
Na aliondoka kweli kama maishara hivi. Atakuwa ni spika wa kwanza duniani kung'oka kwa aibu
 
Kila siku mnalia lia humu alafu unauliza kama kuna uhakika wa hilo?
Poleni sana. Mpaka 2030 mtakuwa mmekwisha wote, mmefika wapi na Umoja Party?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msisitizo asiache kulete mrejesho hapo🚶
 
Ili taifa lolote listawi vyema lazima mihimili mitatu ya dola iwe huru. Lazima Bunge liweze kuisimamia serikali. Mahakama iwe huru kutafasiri sheria na kutoa haki.

Lakini ukiona mkuu wa nchi anashinikiza nyuma ya pazia kumg'oa spika anayesimamia majukumu yake kwa kuhoji fyongo za serikali kukopa hovyo. Tambua huyo mkuu wa nchi ana nia ovu juu ya taifa lake.

Matokeo yake ni haya tunayoyaona huko Loliondo na Bunge lipo kimya.

Tozo za ajabu ajabu zisizo na mashiko.

Safari za ajabu ajabu tu nje ya nchi.

Kula kwa urefu wa kamba yako ...ruksa.

Acha upotoshaji, Andunje alijiuzulu mwenyewe, hakung’olewa na mtu! Labda ungeamdika kwamba mkuu wa alimshawishi kiongozi wa bunge kung’ooka, kung’olewa ni uongo tu!

Pia marehemu mumeo ndo mwasisi wa kuua uhuru wa miimili mingine na kutukuza muimili ulijikita zaidi aridhini!
 
Na aliondoka kweli kama maishara hivi. Atakuwa ni spika wa kwanza duniani kung'oka kwa aibu
Aliongea mawazo yake, lazima tueshimu mawazo ya mtu,

Kuna watu walifukuzwa kazi wakati wa magu, na Leo wamerudishwa means kila mtu na the way analiona jambo
 
Hii

Hii tabia ya kuongoza nchi kwa kadiri mtu anavyoliona jambo ndio hatutafika kamwe.
 
Sukuma gang mnaangaika sana, baada ya Jiwe kufa mmekuwa kama misukule iliyofiwa mchawi wao. Umesahau mambo ya Jiwe unakomaa na mambo ya Mh Rais wetu kipenzi cha Watanzania.
Mbona unaweweseka sana na Jiwe!? Jiwe kaingiaje hapo!? Jiwe ni Marehemu, mleta maada hapo anazungumzia watu walio hai wanaendesha Serekali!! Jikite kwa maada zaidi kuliko kujikita kwa Mtu!!!
 
Jiwe alikua anakopa kimyakimya mikopo yenye masharti magumu halafu anatudanganya ni hela yetu yeye hakopi
Wa Africa wote tumenyimwa akili za kimaisha, tumebarikiwa Mali ghafi nyingi sana kwenye Aridhi zetu,lakini bado tunatembeza bakuli hadi Uhindini kwa Wadosi! Ni aibu kubwa sana, hadi kuna muda waweza kufuru kuwa hawa Viongozi wetu mbona hawana akili Kama wale Viongozi wa upande wa pili waliogundua machine ya kuprint hela na wakaipa thamani kubwa kuliko hata Mali ghafi zetu!!
 
Ndugai anateswa na Karma za akina CAG wa zamani!!
 
Hiyo ni kanuni bora kwa taifa lolote linalojitawala kwa kufuata sheria yaani serikali inayofuata misingi ya utawala bora. Lakini ni kitu kisichowezekana kwa serikali ya CCM tangu ilipoanzishwa na wala haitakuja kutokea chini ya serikali ya CCM labda tufanikiwe kubadili chama tawala. Imekuwa hivyo siku zote kwa mhimili mmoja hasa Executive kuingilia mihimili mingine yaani bunge na mahakama hasa hasa pale ambapo kumekuwa na maslahi ya serikali. Ndio maana hata sasa serikali ya CCM ilivuruga uchaguzi ili iweze kuingilia vizuri bunge na kupitisha mambo yao ya kifisadi, hujiulizi kwanini Magufuli alihakikisha hakuna upinzani bungeni? Hii inatosha tu kujua kwamba hakukuwa na nia njema kwa serikali hiyo. Huyu mama kwa sasa anafaidi tu matunda ya kilichoasisiwa na Magufuli na awamu zilizopita huko nyuma. Solution ya hili ni katiba mpya ya wananchi inayoipa mamlaka ya kujisimamia kila muhimili.
 
Ili taifa lolote listawi vyema lazima mihimili mitatu ya dola iwe huru. Lazima Bunge liweze kuisimamia serikali. Mahakama iwe huru kutafasiri sheria na kutoa haki.

Lakini ukiona mkuu wa nchi anashinikiza nyuma ya pazia kumg'oa spika anayesimamia majukumu yake kwa kuhoji fyongo za serikali kukopa hovyo. Tambua huyo mkuu wa nchi ana nia ovu juu ya taifa lake.

Matokeo yake ni haya tunayoyaona huko Loliondo na Bunge lipo kimya.

Tozo za ajabu ajabu zisizo na mashiko.

Safari za ajabu ajabu tu nje ya nchi.

Kula kwa urefu wa kamba yako ...ruksa.

Tatizo ni katiba mbovu, period.

Kwenye nchi zenye katiba nzuri, Rais hawezi kumburuza Spika kama tulivyojionea kwa Ndugai .... yaani mpaka akatubu.
 
Sukuma gang imevunjwa vipande vipande wamebaki maneno maneno tu.
 
Back
Top Bottom