Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Sukuma gang. Wakati wa magufuli bunge lilikuwa kichekesho tu.Ili taifa lolote listawi vyema lazima mihimili mitatu ya dola iwe huru. Lazima Bunge liweze kuisimamia serikali. Mahakama iwe huru kutafasiri sheria na kutoa haki.
Lakini ukiona mkuu wa nchi anashinikiza nyuma ya pazia kumg'oa spika anayesimamia majukumu yake kwa kuhoji fyongo za serikali kukopa hovyo. Tambua huyo mkuu wa nchi ana nia ovu juu ya taifa lake.
Matokeo yake ni haya tunayoyaona huko Loliondo na Bunge lipo kimya.
Tozo za ajabu ajabu zisizo na mashiko.
Safari za ajabu ajabu tu nje ya nchi.
Kula kwa urefu wa kamba yako ...ruksa.
Nani alihusika na kununua wabunge?
Embu tuache bhana.
Kamfufue uzikwe wewe