Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Hapa jiwe anahusika vipi? Au alikupa mimba inakusumbua?Sukuma gang mnaangaika sana, baada ya Jiwe kufa mmukuwa kama misukule iliyofiwa mchawi wao. Umesahau mambo ya Jiwe unakomaa na mambo ya Mh Rais wetu kipenzi cha Watanzania.
Wewe una chuki zako tu. Hatukusikia akitengeneza njama kumuondoa spika kisa tu anahoji serikali.Dhalimu ndio alijaza wabunge wa mchongo huko bungeni. Na yeye ndio muasisi wa bunge kibogoyo. Huyu wa sasa anafaidi matunda ya dhalimu kunajisi uchaguzi, na kulidumaza bunge.
Wewe una chuki zako tu. Hatukusikia akitengeneza njama kumuondoa spika kisa tu anahoji serikali.
Ila anapokosea mwacheni akosolewe. Na uzuri alishasema mwenyewe kuwa yuko radhi kusikiliza wanaomkosoa hasa watakaofanya hivyo kwa heshima wakijua kuwa yeye ni mama.Kelele zinapigwa sana kwa sababu hizi
1) Ni Mzanzibari
2) Ni Muislam
3) Ni Jinsia Yake
Good pointIla anapokosea mwacheni akosolewe. Na uzuri alishasema mwenyewe kuwa yuko radhi kusikiliza wanaomkosoa hasa watakaofanya hivyo kwa heshima wakijua kuwa yeye ni mama.
Uzanzibari, uisilam na uanamke wake visiwe chaka la kujifichiamo ili hata anakosea eti asikosolewe!
Asijifiche kwenye kichaka cha umama, Urais hauna mamaIla anapokosea mwacheni akosolewe. Na uzuri alishasema mwenyewe kuwa yuko radhi kusikiliza wanaomkosoa hasa watakaofanya hivyo kwa heshima wakijua kuwa yeye ni mama.
Uzanzibari, uisilam na uanamke wake visiwe chaka la kujifichiamo ili hata anapokosea eti asikosolewe!
Mtalia lia sana. Imeisha hiyo.Ili taifa lolote listawi vyema lazima mihimili mitatu ya dola iwe huru. Lazima Bunge liweze kuisimamia serikali. Mahakama iwe huru kutafasiri sheria na kutoa haki.
Lakini ukiona mkuu wa nchi anashinikiza nyuma ya pazia kumg'oa spika anayesimamia
majukumu yake kwa kuhoji fyongo za serikali kukopa hovyo. Tambua huyo mkuu wa nchi ana nia ovu juu ya taifa lake.
Matokeo yake ni haya tunayoyaona huko Loliondo na Bunge lipo kimya.
Tozo za ajabu ajabu zisizo na mashiko.
Safari za ajabu ajabu tu nje ya nchi.
Kula kwa urefu wa kamba yako ...ruksa.
View attachment 2273818
Mbwa kala mbwa. Wakiambiwa watendehaki wanadhan masihara.Kiongozi yoyote wa bunge mwenye Nia ovu, lazima ang'olewe.
Wacha waisome namba wavune walichopanda na badoNasema hivi, huu ukhanithi wa mifumo yetu ya utawala, dhalimu ndio chanzo cha haya yote. Tazama ulipojikwaa na sio ulipoangukia. Sasa hivi faidi matokeo ya siasa za kishenzi za dhalimu, fullstop.
🤣🤣🤣Uzuri mnafuana CCM kwa CCM.Mtakula jeuri yenu.
Aisee nyie wanaccm wachumiatumbo naona mmechanganyikiwa. Tangu lini mmeanza kuamini Uhuru wa bunge na mahakama?Ili taifa lolote listawi vyema lazima mihimili mitatu ya dola iwe huru. Lazima Bunge liweze kuisimamia serikali. Mahakama iwe huru kutafasiri sheria na kutoa haki.
Tutalia una uhakika?.Mtalia lia sana. Imeisha hiyo.