Mkuu wa nchi yoyote anayeingilia majukumu ya Bunge kiasi cha kushawishi kiongozi wa Bunge ag'olewe, lazima ana nia ovu. Na haya ndio matokeo yake

Msukuma mwenzio hayupo tena utabwata ujinga tu haikusaidii.
Hakuna rais wa hovyo alowahi kutokea nchini kama wa awamu ilopita, aliongoza nchi bila kutumia katiba, alivuruga mifumo yote ya kisheria, alikaa juu ya bunge na hilo aliwahi kutamka hadharani, alikua anatoa hukumu badala ya majaji,
Sasa sjui wewe na huyo tondo wako ndugai muufyate tu hampati tena upendeleo
 
🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣
 
Kwamba huyo ndugai ndo mwema sana au,aliongoza miaka mingapi na kipi cha maana alichokifanya?. Wakati wake umekwisha Wacha wengine watawale?. Wakati yeye anapinga wengine kuihoji serikali watu hamkuona et
 
MTu yoyoe wa kumtetea Ndugai ni muovu zaidi
 
Kwamba huyo ndugai ndo mwema sana au,aliongoza miaka mingapi na kipi cha maana alichokifanya?. Wakati wake umekwisha Wacha wengine watawale?. Wakati yeye anapinga wengine kuihoji serikali watu hamkuona et
Kaa kimya
 
Ukipata akili utajitambua
 
Africa ni nchi chache sana zenye Uhuru huo unaousema sidhani kama zinazidi 5
 
Hapa jiwe anahusika vipi? Au alikupa mimba inakusumbua?
Ukiona mtu anakimbilia matusi badala ya hoja basi jua imeisha hiyo. Unasema kanipa mimba wakati hujui jinsia yangu, kila mtu akikushinda kwa hoja unakimbilia swala la Jiwe kumpa mimba mtu huyo. Jitahidi sana akili yako iendane na umri wako dude.
 
Kiongozi yoyote wa bunge mwenye Nia ovu, lazima ang'olewe.
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa Ndungayii ndiye alishirikiana na Jiwe katika kuficha ufisadi wa 1.5tr mpaka kupelekea CAG kuondolewa.
 
Aisee nyie wanaccm wachumiatumbo naona mmechanganyikiwa. Tangu lini mmeanza kuamini Uhuru wa bunge na mahakama?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]imekula kwenu.

Rais Samia piga kazi Mama. Kaza zaidi Spana.
Nakazia, awapige spana za kutosha hao sukuma gang mpaka akili ziwakae sawa
 
Sukuma gang mnaangaika sana, baada ya Jiwe kufa mmekuwa kama misukule iliyofiwa mchawi wao. Umesahau mambo ya Jiwe unakomaa na mambo ya Mh Rais wetu kipenzi cha Watanzania.
Naomba ni muulize kwani anafoka akiwa wapi,shotii hakukimbizwa ila alikimbia mwenyewe baada ya kujutia uovu aliousimania na kushiriki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…