Mkuu wa nchi yoyote anayeingilia majukumu ya Bunge kiasi cha kushawishi kiongozi wa Bunge ag'olewe, lazima ana nia ovu. Na haya ndio matokeo yake

Sukuma gang. Wakati wa magufuli bunge lilikuwa kichekesho tu.
Nani alihusika na kununua wabunge?
Embu tuache bhana.
Kamfufue uzikwe wewe
 
Picha tu zinaonesha.

1. Nini Hasa kilitokea.

2. Nani mkweli na ktk sakata Hilo.

3. Vazi la Chui Chui ni message juu ya nani mkubwa zaidi ya mwenzie.


4. Sina HAKIKA katika kukutana huko palikuwa na direct eye to eye contact.
Macho hutoa picha halisi ya kilicho moyoni.

Nchi zilizopiga hatua kimaendeleo, ukipigwa picha machoni inatosha kujua we ni mhalifu au la.
 
Kujifichiamo, ndiyo nini? Hicho siyo Kiswahili cha Tanzania. Warundi ndio wenye Kiswahili cha nna hiyo. Wewe ni Mrundi? Au una asili ya Burundi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…